Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,531
- 105,194
Akhaa ntakafyekelea mbalii! Hii pic nmepiga last week nilikuwa naenda msibani kuna member alimpoteza mama! Nikaguswa kwenda coz hanaga makuu..🤣🤣🤣🤣na huyo small baby
Akhaa ntakafyekelea mbalii! Hii pic nmepiga last week nilikuwa naenda msibani kuna member alimpoteza mama! Nikaguswa kwenda coz hanaga makuu..🤣🤣🤣🤣na huyo small baby
Mimi hata sijawahi kukuona 😭😭😭😁ata wiki haijaisha
Poleni kwa msiba aiseeeeAkhaa ntakafyekelea mbalii! Hii pic nmepiga last week nilikuwa naenda msibani kuna member alimpoteza mama! Nikaguswa kwenda coz hanaga makuu..
Nikipita nakuita chapMimi hata sijawahi kukuona 😭😭😭
Itabidi niweke kambi humu kabisa
Naomba Unitag na mm.Nikipita nakuita chap
Siwezi na sitojaribu! Kwanza sina cha kuwonesha dk 10 nzima🤣Shem Seran inatakiwa ukitupia humu unajisahau kuitoa . Ikae hata dk 10.
Mtuvumilie sura za baba ndio mambo yetu hayo😅hii picha kukaa hewan sekunde 10 sio haki kwakweli.
😁😁😁😁Yaan hata kwenye server za JF haijafika. Ushaifuka. 😁😁😁😁.
Muwe mnafuata mfano wa spidernyoka.
Hebu nione huo mwili wa ukubwa namimi nijifunze kitu kimoja😁bro kumbe ulikuepo😅😅😅,, nikajua nipo pekeangu
senkiyuuu japo saivi nimenona kidogo nimekua na mwili wa ukubwa😍
🙆🏻♂️🙆🏻♂️🙆🏻♂️ Sasa nitaota ? Maana leo nachoma chupa tu toka jana. Lakini PM yangu ilipoteza padlock iko wazi 🤣Nikipita nakuita chap
bro kumbe ulikuepo😅😅😅,, nikajua nipo pekeangu
senkiyuuu japo saivi nimenona kidogo nimekua na mwili wa ukubwa😍
Jukwaa limejaa watu wachoyo hili 😅Aisee mbona mimi niko hewani sioni kitu🙆🏽♀️
Nakazia Hapa. 😊😊😊.Hebu nione huo mwili wa ukubwa namimi nijifunze kitu kimoja😁
mwili wa saivi unatishaa ni bonge moja la dada wa mirabal minne😎Hebu nione huo mwili wa ukubwa namimi nijifunze kitu kimoja😁
ngoj nipekue tuone kama nitaambulia fullJinsi ulivyo. Hata ukiwa na watoto watatu. Ni rahisi kumaintan umbo lako.
Uko Vyedi Mwl.
Hebu tupia ya current tuone😋😋😋
Bro. Yaan ndan ya miaka 2 uongezeke mara 3 zaidi?.☺☺☺.mwili wa saivi unatishaa ni bonge moja la dada wa mirabal minne😎