Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹wenye tupo chini ya 50 tusemeje sasa
Bora umeonja 60🤣🤣🤣💔
Mwili utakuja tu.
Ukizaa mtoto wa kwanza mwili unajiongeza 15+ kg.
Wa pili hivyo hivyo.

Ukija kushtuka umefika 90+ Hapo sasa ndio shughul ya kuzishusha inaanza.

Ila kuna watu wana maumbo mazuri. Utakuta wana watoto wawili au zaidi na mwili umetulia kwenye kg 70-85 hapo.
Safi kabisa.
 
Ntarudi na mrejeshoooo🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom