Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijakujibu wewe. Please relax!
 
Nani mpenda udaku? Nisome vizuri; na please usianze kuchukulia vitu personal. Tulikuwa tunaeleweshana tu - tena ni wewe uliyeanza kunikwoti na embedded hominem attack!
Wewe hapo ndio unapenda udaku ndio maana unaushadadia
Nisamehe kama nimekosea kusema hivyo kila la kheri katika kusaka ma file na kuyaanika
Panda kwa uangalifu vinginevyo usilalamike wakati wa mavuno ukifika! Upande bangi halafu utegemee kuvuna ufuta. We ulisikia wapi? Kwa Mwamposa? 😳
Watu washapitia makubwa zaidi ya hayo na still wanasimama
Hao waliopitia hilo seke seke umesikia hata mmoja ajinyonga ?

Wewe kama furaha yako iko hapo keep going bro
 
Muda wa kuchamba umbea na wewe sina..

Sijakukwoti, na hata ikitokea nimekukwoti wewe kama nani usikwotiwe?
Ukinikuta nime mquote brother coca ni marufuku kuja kuingilia... La sivyo utasababisha mengine umesikia binti...

Nashukuru nimekuwa mwingi wa busara la sivyo ningeshakuvuruga vibaya sana... na ban ungepigwa... you know me...

Endelea na umbea, hayo si mambo yangu... siku njema.
 
Soma kwa tone ya kawaida hakuna sehem niliyo panic

Na tunaweza kuacha huu mjadala kwa sababu zifuatazo

1 Ni Mjadala wa kishambenga usio na faida yoyote unaweza kupelekea kuvunjiana heshima

2 huu mjadala mwelekeo wake haujengi wala hauna manufaa kwangu kwako na kwa wasomaji zaidi ya kujichoresha

Unavyonishangaa na kuhisi ni me panic na tofauti na unavyonijua

Mimi pia same to you kuona ukiwa upande wa vitu vya namna hii licha ya kua sikuwahi kujua huu upande wako

Kwa heshima na taadhima mie na chutama mkuu

Tuishie hapa maoni yako nayaheshimu maoni yangu yaache kama yalivyo ikiwa hayana athari yoyote kwako

Wakati mwema kwako 🀝🀝
 
Hivi wee ni ke au me??
 
Kama jukwaa lako ni sawa nitafanya hivyo..!!

Nimekwambia usinitishe, halafu mbona huna jipya..!! Unitafutie ban wewe kama nani?

Umbea unaupenda ndiomana huishi kuufatilia, tuendelee tu kupiga umbea..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…