Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Hizi cross-examination mbona za ghafla sana?
 
Mda sana ujue ishirini na Moja mwishoni huko na cute wife.

Chino nikasema mbona mtoto kachangamka sana huyu! Afu anajiita mcute! Pisi mbovu ijiite mcute si kweli!

Acha niinyemeleee ila mikazo mikazo tu
😹😹😹 Sasa mi ndo cute wa kwanza mbovu..!!
 
😹😹😹 Sasa mi ndo cute wa kwanza mbovu..!!
Kipindi kile Cha mtifuano ukaamua ujiachie live kuwaonyesha am there!! Ulijiachiaga kipindi kile. Maninah nikasema huyu demu kumbe ni kisu afu rangi ya mtume vitu vyangu kabisa!!

Afu lipo Kiana vibao vinapigwa tu mbona! Mtoto wa mjini wewe Yani ulikose kabisa dah ningelia sana chino
 
Yaishe kama vipi au unasema je bro mpenda udaku?
Mie ujue haya sio mambo yangu na hata sipendi kuyajadili kabisa

Nadhani tuishie hapaπŸ™πŸ™πŸ™
 
Unanifahamu vyema...
Nitakuja kukuharibia siku yako bure...
Sasa unafikiri nakuogopa?
Uzuri hata wewe unanijua vizuri..!!
Unavyotaka nataka, ukijifanya taahira mi ndo nimetoka mirembe..!!

Kwanza huna jipya, bora ukatafute sehemu nyingine ya kutemea mate yako πŸ«ƒ
 
😹😹😹 Yani chino hausahau hiyo ya kuingia live..!!

Kipindi kile nilikua na utoto mwingi sasa hivi nimewaachia wengine..!!
 
Yeah! Ni kuwa waangalifu maana mara nyingi unachopanda ndicho utakachovuna halafu siku mambo yakibumburuka papa yako inawekwa mubashara hapa na vivulana unaanza kulalamika na kuleta mafungu ya Biblia nje mkuthadha
Heh we kaka mbona kama unanirushia madongo kulikoni?

Sio wewe ulieleta vifungu na mimi nikakujibu kutumia hivyo hivyo vifungu ulivyokuja navyo ?

Mie kwanza na bibilia wapi na wapi nasoma kama ninavyosomq katiba tu

Watu wadini nadhani ni waovu na wabaya kuliko wapagani


Maoni yangu ndio yamekufanya unatoa povu kiasi hiki kisa nini hasa au kuna jengine lol πŸ™ŒπŸΌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…