Selfika na JF: Snap it. Show it


agaaaah iliyopo kweny offer ni moja tu huyo ba mjengo mwambie alipie yake😃😃
 
Sina nafasi mwaya saivi
 
Haya poa
 
Sawa mama kila la kheri
Yalikua maoni yangu binafsi sidhani kama naweza kuzuia mtu kufanya kitu anachoona ni sahihi
 
Mjadala huu naufunga!!
 
Wewe ukilipata huko nipasie pm bana 😹

Mtu akishindwa kujiheshimu mwenyewe si kina nani tumuheshimu? 😹😹

Wanawake tunaongoza sana kujitoa ufahamu, unakuta huko pm mdada kasambaza papa lake kwa member tofauti tofauti aliodate nao. Wakilivujisha lawama wanatupiwa wanaume as if wao ndo walimtuma asambaze..!!

Wanawake sehemu zetu za siri ziko tofauti na wanaume, mwanaume hata.. yake ikivuja haimuathiri chochote..!!

Wanawake sehemu zetu za siri ni mwiko kuonekana hovyo, sijui watu hawana wazazi wanajilea wenyewe? Mi nashindwa kuelewa kabisaa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…