ππnawaona na lamomy tuAtanikataa tuu huyu! Leo ananishambulia sana. Sijui shida nini? π
Hawezi, ila mfate pm.Atanikataa tuu huyu! Leo ananishambulia sana. Sijui shida nini? π
Kwani wewe umeona? πΉ
Mi nimeweka miguu nashangaa nasifiwa rangi na shepu..!!
Em toka hukoo πΉπΉNa tukipeana kidogo Kuna tatizo ?π
ππnawaona na lamomy tu
π
Hizo kampeni zako hazitafanikiwa πΉπΉππnawaona na lamomy tu
π
Jamaanii πΉπΉπΉNimeona hiyo picha, sema watu humu hawajui "English figure". Hii shepu uliyonayo wewe ndio English figa. Shepu kama ya JLO hii. π
Aweke picha amekua na maneno mingi huyu malleMallerina, haya sasa nakuwekea picha hapa ili uache kunishambulia.
Aweke picha amekua na maneno mingi huyu malle
π€£π€£π€£maneno yapi sasaAweke picha amekua na maneno mingi huyu malle
Chat kwa pichaπ€£π€£π€£maneno yapi sasa
π π ila lamomy we kiboko humu aiseeeeMalle papaa umemuona?
Hapo material yamejaa wewe ni kuita mafundi ujenge..!! πΉ
Hilo hardware lenyewe ushindwe wewe kumiliki mjengo..!!
Oh shemeji mbona ghafla umekuwa mkali? Naomba usimwambie dada Yako hili. Limeshapita.Em toka hukoo πΉπΉ
Mi shemeji yako kuwa na adabu..!!
π€£π€£π€£π€£jmni mbn nawekaga humu