Chat kwa picha headgirl😹Nina kitochi ukipiga pic kinakudai memory card 😹😹
😹😹😹kwanini unatumika kumtetea yeye?😹😹😹 Em acha kumkuza Ntilu
Kijana huyo Gen Z ni vile yeye havai km mbosso..!!
Tena usikute wewe umemzidi miaka hata miwili..!! 😹
Mshamba huyu mmoja wa jukwaani au😹Huyo mandula sio mshamba hachekwi kweli? 😹😹😹
Kama ni yeye umelamba garasa aiseee..!!
😹😹😹 Chivundu nafurahishwa na pirika zako za kunisifia, hakika safari hii nitapata mume JF.
Boli lilinikataa nikiwa form 2, aisee kwa kweli nilikuwa naupiga sana 😄😄Una mguu wa boli dogo. 😊
Boli lilinikataa nikiwa form 2, aisee kwa kweli nilikuwa naupiga sana 😄😄
Hahaha nilikuwa full back right na nilikuwa nacheza inverted winger sometimes 😅Ungekomaa na boli, mguu kama wa Roberto Carlos au Luca Modrick huo.😁
Udugu 😍😍🔥🔥
Zamani mlikuwa mnaselfika na vitenge? 😹😹Woyoooooh ndani ya tenge, tena ni wax original.
[emoji7][emoji7][emoji7]
Ngoja niichek yote leo sina cha kufanya 😃Kama Shabiki wa nyumbuz ? hilo sitaki 😂
Ngoja nicheki Descendant episode Moja nikalale , neEnjoy sana mule 😎
Upo una meditate??
Uduguu yani leo nimecheka kuna mmbea kanifata kunipa ubuyu tulabishana weeh..!! Akasema nenda selfika page ….. Sasa katika kucheck si nikakuona na tbt yako.😂😂😂😂 hatariii sanaaa uduguu.
Nitakuwekea papa shauri yako 😹😹Chat kwa picha headgirl😹
Mimi natetea vijana wote wa selfika 😹😹😹😹😹kwanini unatumika kumtetea yeye?
Huyo huyo sukari ya warembo wa JFMshamba huyu mmoja wa jukwaani au😹
Nitakuwekea papa shauri yako 😹😹
😹😹😹 Ufurahie mi kwenda kupigwa miti?Ukipata mume, ni jambo zuri na jema. Nitafurahi sana.