Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹 wa kimoja chali?
Ndiooooo sitaki heka heka bana 😞
Nilikua kusaka makuta 😹
Aloooooo pesa na iheshimiwe na watu wote mimi sio wa kusinzia kama teja kisa kuzisaka faranga au nioelewe tu 🤣
Mzigo unao mwali wangu anayebisha ana wivu na wewe..!! 😍
Mwajuma nichokonoe yupi huyo anayeanzisha uzi?
Nani mwingine jamani mwenye ngebe na trauma na watoto wa kike JF 🤣
Em nitag kwanza 😹
Niliona jujuu hata sijui huo ushuzi ulipo 🤣
😹😹😹 kijora najitolea kumpa bure tusutane naye..!!
Mie nanunua ushanga wa kiuno wa zahabu na kikuku
Li Kiranga, ni lidude likuuuuubwaaa JF halinaga drama..!! 😍🔥🔥
Lenyewe ni kugonga facts tupu, hao low minded kawaacha mbali sana..!! 😹
Wanaume ninaovutiwa nao ni kama hawa mwanaume hana upuuzi

Mtu amenyooka ukisoma una Yes Yes Yes like unasikilizia 😍🤌

Halafu ujue hizi issue sipendagi napenda zangu mambo ya hoja ila ndio hivyo adui ninae muweza saivi simuachii Mungu shenziiii
 
Kumbe chatungi 😹😹😹

Si niliwaambia mumpe muache kumnyima 😹

Yule anakupenda tatizo humzingatii anaona hasira zake akuchokoze..!!

Wachaga hawajui kutongoza ni masimp msamehe bure..!! 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…