😅😅🙌Hii vita ilianza 2021...
Ni muda sasa Haka kajamaa kutafuta mwanamke wa kuoa... imagine 2021 kalikuwa na miaka 37...
Mzee haogopi kupandishwa kisukari na presha katikati ya safari 🙌
Mzee muhuni sana huyu, mzee anajua mpaka morning glory...Mzee haogopi kupandishwa kisukari na presha katikati ya safari 🙌
Sisi wenzake tuliamua kupumzika mambo hayo tangu mwaka 47 🤗
nisafishie macho sweet🤩Zipo 🔥🔥🔥🔥🔥😹
😹😹😹kwanini unasema hivi afu jibu kwa pocha huu uzi wa mapichaaaaaNa intelligence na tamaa ni masai na sime
😁😁haya mambo ni magumu😹Changamoto tumegeuza lile tendo kuwa starehe, wenzetu wanyama wanafanya kwaajili ya kuzaliana pekee
Ndiyo maana vijana wa hovyo wako busy kubuni popokanyea dunia 🙌
Na sisi wa mwaka 47 ndiyo unafia saiti yaani 🤪
Uko wapi sasa🌸🥳🥳🥳❤️nisafishie macho sweet🤩
Yapo wap mapicha😹😹😹kwanini unasema hivi afu jibu kwa pocha huu uzi wa mapichaaaaa
Anza kuniblessssss😍Upite naked😹sasaYapo wap mapicha
Ni kwenda nayo taratibu huku ukiomba Mungu akupe mwenza wa kuendana naye😁😁haya mambo ni magumu😹
Haya mambo hayataki ujuajiNi kwenda nayo taratibu huku ukiomba Mungu akupe mwenza wa kuendana naye
Fisi ni wengi kwenye ngozi ya Kondoo 😎
Awe makini tu, siku hizi mabinti nao ni hodari kutega camera ili kuuza connectionMzee muhuni sana huyu, mzee anajua mpaka morning glory...
Ni kweli mjukuuHaya mambo hayataki ujuaji
Bora tuishi nayo tu hivi hivi
Hata hapo kwenye hio video alidhani ni video call private, kumbe yupo tiktok live...Awe makini tu, siku hizi mabinti nao ni hodari kutega camera ili kuuza connection
Kwa umri wake, alipaswa atulie kama tulivyo sisi Wazee wenzake
Naijua hiiAnza kuniblessssss😍Upite naked😹sasa
Mimi kwenye harakati zangu ni Mzee Jackson Mihambo kabisaaaAwe makini tu, siku hizi mabinti nao ni hodari kutega camera ili kuuza connection
Kwa umri wake, alipaswa atulie kama tulivyo sisi Wazee wenzake