Selfika na JF: Snap it. Show it

Basi ngoja nifanye mambo nijipatie auntie wa kibongo, yule ananichosha na kizungu ๐Ÿ˜น
 
wanazamaje sa wkt kuna kufuli ๐Ÿ˜ nimefulia tu apa ukintumia buku mi roho yangu kwatu kabisa tajiri ๐Ÿ”ฅ
Au sio ๐Ÿ˜น
Wale wanaoamkia shikamoo kina nani?
Sema ile siku nilicheka mpaka machozi, hivi ungeweka na convo zenu si ndo ningepasuka mbavu..!!

Weka basi convo tajiri tuone ๐Ÿ˜œ
 
Hiyo forum nasikia Penseli alikua anaedit nyuzi na kutukana member kwenye nyuzi zao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hivi mlianzaje kumpa umods mtu kama Penseli? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa hizi kama imekufa nilikuwa active kipindi ilipoanzishwa nikapotea kwa miaka .

Mimi sikuwa kiongozi nilikuwa member tu , Kipenseli alitukanana mpaka na mods wenzake wakatandikana ban , ilikuwa nyumba ya fujo humo ๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hii pochi au kimfuko?
Unakua unabebea lip gloss na wanja au?
Malle unanichekesha sana mdogo wangu..!!

Utoto raha sana..!!
Hivi vitu nisipofanya saizi nitafanya uzeeni๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นafu huu ndo muda wake sasa au unaonaje๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ