ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,476
- 49,862
Ukiwa na maaaaanaa?Lamomy mzungu hana kipengele! Na Bora ungeishia hata kwenye ulimi haha
Nyokooooo wewe 😅Na kile kichuguu lazima dunga dunga wakibambie kwenye mwendokasi..!! 😹
Ntakilinda kwa wivu mkubwa cc ShesRise_1Na kile kichuguu lazima dunga dunga wakibambie kwenye mwendokasi..!! 😹
Nilikua naingia ila nashangaa mchana huu imenigomea mpaka nikawashaNyokooooo wewe 😅
Hivi unaingia JF bila VPN?
Kijana umekuaje kuaje ?😅Ntakilinda kwa wivu mkubwa cc ShesRise_1
Mi pia tena nimeambiwa na mtu washa VPN lol TCRA wachoyoooooNilikua naingia ila nashangaa mchana huu imenigomea mpaka nikawasha
Usimbanie mume wetu vibaya hivyo 😹😅😅😅 atakula alikopeleka mboga
Kwanza aselfike tukione 😹Ntakilinda kwa wivu mkubwa cc ShesRise_1
Mume wenu wewe na nani?Usimbanie mume wetu vibaya hivyo 😹
Zawadi uliyobarikiwa baada ya kuiachia si ndo nikavurugika kabisaUkiwa na maaaaanaa?
Mbona mi natelezaa tu..!!Mi pia tena nimeambiwa na mtu washa VPN lol TCRA wachoyooooo
Na wewe 😹Mume wenu wewe na nani?
Kwanza ana hela ?
ShesRise_1 embu tushushie vituKwanza aselfike tukione 😹
Wewe si upo china hevean gelo sio sisi tupo huku mswekeniMbona mi natelezaa tu..!!
Ebooo nipishe hukoooShesRise_1 embu tushushie vitu
Mwenzio kajisinepooooo kwenye tezaaa ya classmate unapagawaNa wewe 😹
Mtu mpaka anamiliki tezaa ndo akose pesa?
Acha dharau na mume wetu..!
Nalinda mgongo wangu!!Mume wenu wewe na nani?
Kwanza ana hela ?
Ya kwake, kama unataka kadi we nenda home akakuonyeshe..!!Mwenzio kajisipooooo kwenye tezaaa ya classmate unapagawa
Ebu aweke kadi tuone