Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuona ukielekea masomoni mdogo wangu๐Ÿ˜

Hizo kalamu nimetumia primary tulikuwa tunazipenda mno darasa letu!
 
Nakuona ukielekea masomoni mdogo wangu๐Ÿ˜

Hizo kalamu nimetumia primary tulikuwa tunazipenda mno darasa letu!
Tayari Dada nishamaliza masomo nimehitimu sasa kama min -me takribani mwaka huu , hiyo ni kumbukumbu .

Pen hizo karibia chuo kizima nilikuwa nazo Mimi , siku Moja Mwalimu aliniona nayo alifurahi sana akasema nimemkumbusha mbali kwa Pen hizo walikuwa wanatumia enzi zao na akashangaa kukuta bado zipo ๐Ÿ˜†
 
Mtihani wa level gani ya elimu ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ