Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,883
- 57,532
Ujue nipo naandika uzi mnanichanganya😅😅Lishemelaaa ilo liko fiti Kila idara
😹😹😹 Stakiiii lazima nikubadilishie mganga..!Uzuri unajua kwako sipinduki
Ntazinguka huko ila kwako mwisho wa reli.
Sijui umenipaga nini kwako sioni sisikii Wala siambiwi
Mie ni kaka jamani uwiiii 🔥🔥🔥🔥Nakupa tbt leo 😂😂😂
View attachment 3693975
2022/2023 hiyo 😀Mie ni kaka jamani uwiiii 🔥🔥🔥🔥
Nishasahau 😹😹Hii zamani sana niliipost ukaomba vidole unyonye 🤣🤣🤣
Nimeiona Google photo nikaona nikukumbushe
Weka weka tuone 🔥🔥Kichugu cha wayback ndio kimchanganye 😅😅 au nipost nowadays 🤪
Wow wifi nipate sasa kaka angu huna kipengele 🔥2022/2023 hiyo 😀
Lakienyeji!! Ni lizuri Mimi nikionaga mtu ana discuss vitu vigumu najua kabisa ni kina tulia ackson. Ila huyu shes kashindikana! Ile beautiful with brain maana yake halisi ni huyu mtotoHapo lazima nikupongeze kwa iko kichuguu awwww 🔥🔥😹😹
Kichuguu kipo 🔥
Mtego nilioutega nikiufyatua lazima unase 😂😂😂Nishasahau 😹😹
Mi naye nasifia sana mpaka sikumbuki..!
Au sio ? 😅😅😅Wow wifi nipate sasa kaka angu huna kipengele 🔥
Unataka kufanana na Founder hiyo pic 😍Nakupa tbt leo 😂😂😂
View attachment 3693975
Sahau 😅😅 toshekeni na TBT mamaWeka weka tuone 🔥🔥
Toto limeenda kidato limebukua oohh..!! 😹Lakienyeji!! Ni lizuri Mimi nikionaga mtu ana discuss vitu vigumu najua kabisa ni kina tulia ackson. Ila huyu shes kashindikana! Ile beautiful with brain maana yake halisi ni huyu mtoto
Ukimaliza tutag balaa lihamie huko hukoUjue nipo naandika uzi mnanichanganya
Ndio fanya kweli banaAu sio ? 😅😅😅
Nafurahishwa na pirika zako 😹😹Mtego nilioutega nikiufyatua lazima unase 😂😂😂
Tupia bana shemelaaSahau 😅😅 toshekeni na TBT mama
Kasoro za face ndio za hivi karibuni ila full body niacheni kwanza nafanya diet🤣🤣
Typically kama Founder kabisa 😝😝😝Unataka kufanana na Founder hiyo pic 😍
Sema unatakiwa uchapwe viboko kama mpaka leo hujapata pisi JF kwa uhansamu huo..!!
Weka mzigo hivyo hivyo si hatuangalii kitambi tunadeal na kichuguu tu! 😹Sahau 😅😅 toshekeni na TBT mama
Kasoro za face ndio za hivi karibuni ila full body niacheni kwanza nafanya diet🤣🤣