Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,672
- 102,637
Au sio? 😹Nipo kibirizi si umeona behewa la Kadogosa hilo
Au sio? 😹Nipo kibirizi si umeona behewa la Kadogosa hilo
😹😹😹 Em tega nione..!!Tulia mdogo wetu au unataka nikutegee mtego wa 🐀 unase 😆?
Aaahhh hana noma mwamba 😅Kateguka mkono..!!
Huwa sishindwi utanasa tu 🤣🤣😆😹😹😹 Em tega nione..!!
Nafurahishwa na pirika zako kama za pimbi 😹😹Huwa sishindwi utanasa tu 🤣🤣😆
Mbinu za kijasusi zilishasukwa tayari
Au siyo 🤣🤣🤣Nafurahishwa na pirika zako kama za pimbi 😹😹
Kuna kitu amekufanyia sio bureLamomy ndo zake aninipiga sana matukio shemelaa.
Ni vile chino mvumilivu.
Anataka tuwe kama Jada na smith
Sio bure kuna namna🙆♀️Nyamaza tu shemelaa!!
Ananileteagaa visa sana huyu Lamomy ila nishamwambiaga mi ni dokta mwaka siachi kirahisi na siachiki kirahisi hata akienda bakwatq
😹😹😹 Wewe acha kiherehere na husiano langu..!!Kuna kitu amekufanyia sio bure
Kwahiyo niendelee kulia au niache😢
Hili husiano nitalifatilia kwa ukaribu 😅😹😹😹 Wewe acha kiherehere na husiano langu..!!
Tunajuana wenyewe, mshike jembe mkalime..!!
hahaha dah😹😹😹 Mbona wewe umesifia kichuguu sijamind chino?
😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!Hili husiano nitalifatilia kwa ukaribu 😅
Kuna harufu ya ufisadi
Njoo shemela usimame kwenye kichuguu utatoshea sijui 😅😅hahaha dah
We li ShesRise_1 linapita nisitie neno kabisa. Nilijibana nikashindwa kwakweli lishemelaa lizuri bana.
Limebarikiwa
Umeniambukiza 😅😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!
😹😹😹 Chino kesho tukutane Bakwatahahaha dah
We li ShesRise_1 linapita nisitie neno kabisa. Nilijibana nikashindwa kwakweli lishemelaa lizuri bana.
Limebarikiwa
Kwahiyo unataka kunipindua udugu wako ujiweke? 😥Njoo shemela usimame kwenye kichuguu utatoshea sijui 😅😅
Huyo mwanamke anataka mashindano we uliona wapi