Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Chiwawa ma min me wana ndugu zao wengi humu jamani. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Ndio shida za kuanzisha anzisha nyuzi kila wakati bila hata kuwa na vya maana ili mradi tu nawe uwe relevant humu ndani. Sasa wanaumbuka
Nenda kwenye uzi wake upitie comment ucheke ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Alivyo mkavu kakataa katakata hajawahi kusema yuko USA na ushahidi kaniomba ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kumbe kasahau na uzi alianzisha mwenyewe mwaka huu..!! ๐Ÿ˜น
 
Nenda kwenye uzi wake upitie comment ucheke ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Alivyo mkavu kakataa katakata hajawahi kusema yuko USA na ushahidi kaniomba ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kumbe kasahau na uzi alianzisha mwenyewe mwaka huu..!! ๐Ÿ˜น
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ yaleyale ya mtu kusema yuko mambele halafu mtandao unazimwa wote tunapotea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Okay, tupia basi pic yako..!!
Nimemiss kuona zile ndevu ๐Ÿ˜
Ahahaaaa. Kumbe unapenda ndevu eeh.

IMG_0679.jpeg
 
Back
Top Bottom