Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,317
- 11,169
😹😹😹Katekista Mtoto halali na hela hili goma lako, kuna tuvitu tu dogo twa finishing unambeba..!! Si umeona akilala akiamka anakuita..!! 😹😹😹
😹😹😹Katekista Mtoto halali na hela hili goma lako, kuna tuvitu tu dogo twa finishing unambeba..!! Si umeona akilala akiamka anakuita..!! 😹😹😹
Acha izo we nitupie photo ata ya passport size😹😹😹
Simu yako hainaAcha izo we nitupie photo ata ya passport size😹😹😹
Mi ndo wa kwanza nimekuomba upite..!!Inaanza na wewe
Stay tunedMi ndo wa kwanza nimekuomba upite..!!
We ni nani ndio natoka jela leo🙄Tupia kichuguu basi 😹😹
😍😍Stay tuned
Headgirl wa selfika, naomba kuona kichuguu 😹😹We ni nani ndio natoka jela leo🙄
Hutaki ulimi😜Headgirl wa selfika, naomba kuona kichuguu 😹😹
😹Simu yako haina
Kuna mwingine huko nimetoka kumchamba alikua anajifanya yuko USA sasa kapata ajali kajisahau yuko kusema kadondoka na tuk tuk..!! 😹😹😹
Nimemuuliza kwa hiyo ajali bila Shaka ni bodaboda, vipi NYC kuna boda?
Kaniambia lini alisema yeye yuko USA? Kwanza yeye yupo Germany..!!
Nikamletea uzi wake aliounzisha mwenyewe mwaka huu akisimulia alivyotua NY kwa mara ya kwanza..!! 😹😹😹
Mpaka sasa hajarudi, mkinionea red black mmwambie lamo namtafuta sana..!!
Mtu asirudi nyumbani 😀😀Sasa si kuna kurudi jamani
Tusirudi kasuluMtu asirudi nyumbani 😀😀
Et jamani sie watu wa kagameTusirudi kasulu
Atuache kabisaEt jamani sie watu wa kagame
Yemwe yemwe atureke 😆😆
Yegoo😊Atuache kabisa
Nataka kichuguu mie 😹Hutaki ulimi😜
Hakunaaaa leo nakuwekea sikio😀Nataka kichuguu mie 😹
Karudi lini wakati mpaka juzi alikua NY 😹Sasa si kuna kurudi jamani