Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mmemkataa mwenzenu afanyeje? Ndicho pekee kilichobaki. Msiwakatae wazee mtawaua kwa upweke.
Humu Selfika kuna wanaume kibao wanapita wanaondoka hawana haja ya kujitutumua ila yeye anavimbaaaa

Ku bull watu kama vile ana uwezo wa kuumba hata sisimizi

Yeye mbona anajulikana ila watu wapo kimya ujinga ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…