Ni kweli si tumechukua cheti cha majukumu mapema ,wengine waoga .Ikishindikana kabisa pata hata mtoto ,ndio alama zetu muhimu tutakazoacha duniani.Asante.Hongera sana mkuu π kulala kama panga ni basi tu tunajikaza
Sometimes issue ni deep π’
Umejua nini boss π
Mi nitoe kwenye wingi πΉHongera sana mkuu π kulala kama panga ni basi tu tunajikaza
Sometimes issue ni deep π’
Mengine unyamaze π€£π€£sasaHakunaaa πΉπΉ
Ngoja niwah ziwaniUmejua nini boss π
Uduguu, nilitaka niulize hivi. Mbona huyu ni mweupe na yule bwana harusi ni mweusi, au giza la hapo ukumbini limefifisha rangi ya bwana harusi.Kanichanganya, kule alikua mweupe hansamu, kwenye ndoa black kachokaaa..!!
Hiyo ndoa mbona imeanza kumpanda kichwani mapema? πΉ
Ushindwe wewe πΉUduguuu wee ni π₯π₯π₯π₯
Wenye wachumba humu wanajibanaπ€£π€£π€£π€£π€£khehMi nitoe kwenye wingi πΉ
Yani naenjoy hapa nimejiachia sibanwi
AlamsikiiiiiiNgoja niwah ziwani
Hata kuwa mzee kwenye ndoa mzee πΉπΉUduguu, nilitaka niulize hivi. Mbona huyu ni mweupe na yule bwana harusi ni mweusi, au giza la hapo ukumbini limefifisha rangi ya bwana harusi.
πππππ
π€£π€£π€£π€£π€£ila nyieUduguu, nilitaka niulize hivi. Mbona huyu ni mweupe na yule bwana harusi ni mweusi, au giza la hapo ukumbini limefifisha rangi ya bwana harusi.
πππππ
Wewe coca nilipita mchana bana afu unazubaaaπππMalle umefuta chaapu, ila nawe unachanganyaa wallah.
ππππ au basi.
Ndio πΉWenye wachumba humu wanajibanaπ€£π€£π€£π€£π€£kheh
ππππHatuwezi kukuzoea hivyo, binti mdogo unavaa la kuchumpa πΉπΉ
Imagine linavaliwa na binti mdogo πΉLa kuchumpa la kupalama... pantoni...
Umenikumbusha mbali sana...π
π€£π€£π€£π€£π€£ila nyie
Mimi nipo humu nikiamua nalala humu naamkia humu π€£π€£muda wa kujibu mashtaka sinaNdio πΉ
Kesho wanaanza kuulizana, mpaka saa 6 JF ulikua unafanya nini?
Imagine linavaliwa na binti mdogo πΉ
Mtoto mdogo na mindula wapi na wapi? πΉππππ