Selfika na JF: Snap it. Show it

Wajinga hatuwezi kujadili kei na mwenzie ukuni week nzima

Lazima tuwajadili ila ndio kama hivyo tahadhari muhimu chino

Asante kwa ushauri shem shem
Lamomy mfungulie kijana pm ana busara sana πŸ€—
Cc Lamomy aione hii!!
Nashukuru sana kwa kunipigia chapuo shemelaa. Chino sio mchezeaji kabisa.
 
Huu unaenda mwaka wa 7.
Kijana wa watu bado na uvumilivu wa hali ya juu.

Alinipitishaga kwenye mitihani migumu huyu mtoto! Afu akawa ana ni zoom ntafanyanje. Bado nikafaulu.
Wallah nimelia sana umeandika kwa uchungu sana😒😒

Miaka 7 ?
Huyu binti jamani πŸ’”

Kuanzia J3 mimi na wewe tufunge tatu 3 kavu ikishindikana tujiamulie mambo twende kumlipua kwenye chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…