Selfika na JF: Snap it. Show it

Aise basi mimi na wewe tunaongea lugha moja,, Spain niko Barca na England nipo Man U pia yaani mimi kila nchi ya ulaya nina timu moja ninayoshabikia.. zile kubwa kubwa lakini

Haha ile niliyopiga t shirt tu ilikuwa ni ya Barca hukuona kitu cha Rakuten kabisa pale?? Ile niliyopiga full ilikuwa ni ya Taifa Stars ile siku wameifunga Guinea!! Duh ila we mhenga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise basi mimi na wewe tunaongea lugha moja,, Spain niko Barca na England nipo Man U pia yaani mimi kila nchi ya ulaya nina timu moja ninayoshabikia.. zile kubwa kubwa lakini

Lemme guess, kwa zile ligi kubwa
Ajax - Netherlands
Munchen - Germany
Juventus - Italy
PSG - France

Sina uhenga wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…