Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika 😂😂😂 Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea 🤦🏻‍♀️
Dah! Kwamba humu nnae goma na wewe ni Dada yangu? Katuga sana wewe.

Unajua fika mie ni imamu na msikiti unaufaham kabisa we kweli wakunifanyia ujuba mie? Umeanza lini kua bedui?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh
 
Nakumbuka Babu kuna mwaka tulikutana pale Rombo Green View zaido ya Members 100. Na Jamiiforums kipindi kile ilikuwa na mijadala ya moto.
Hakukuwa na tishio la utekaji kama ilivyo sasa

Saivi hadi kununua kitu humu jukwaani kupitia jukwaa la matangazo, mtu unaogopa.

Kuna watu wanakuwa na shida ambazo tunaweza kuwasaidia hizo elfu 10, kumi, lakini unajikuta unaogopa

Na sisi wapenzi wa Kiko, ndiyo kabisa tunaogopa hata kuletewa na Wajukuu 🥲🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…