Selfika na JF: Snap it. Show it

Hamna similiki hiyo biashara na sifanyi biashara Jf , namiliki hivyo viatu vipya , hapo nikawa na express feeling jinsi nitavyovaa na kanzu .

Maana napenda Raba na Kanzu nilivyo vaa pichani hapo chini πŸ‘‡ View attachment 3691447
Sheikh majini 😹😹

Wewe ukipita kkoo ukisema takbiiriii wote tunakimbia maduka 😹😹
 
TBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20’s mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau 😩

View attachment 3691442
Chuma hiki hapa sasa cha mjerumani..!! πŸ”₯πŸ”₯

Kiuno nyigu, afu wewe ilitakiwa ungetuwakilisha Miss World tuchukue taji..!!

Mtoto Kama twiga wa Mikumi, anaiona mpaka kitonga..!! 😍

Em niangalizie kesho itakuwaje?
 
Chuma hiki hapa sasa cha mjerumani..!! πŸ”₯πŸ”₯

Kiuno nyigu, afu wewe ilitakiwa ungetuwakilisha Miss World tuchukue taji..!!

Mtoto Kama twiga wa Mikumi, anaiona mpaka kitonga..!! 😍

Nyoooooooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Em niangalizie kesho itakuwaje?
πŸ˜‚

Haya tupia tbt
 
😹😹😹 nipe zawadi, lakini moyo wako upo kwa yule jamaa The monk uongo? 😹
Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈ
 
Na wewe unamuunga mkono?
Kwanza ulivyokua haupo kasema hakupendi πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
We si ulinilazimisha niseme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…