binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,776
- 46,827
Kweli unaonekana ulikuwa mdogooo ๐ฅView attachment 3691372
Tbt hata smartphones hakuna natumia camera ya laptop ๐ ๐ ๐
binti kiziwi
Pita mamaa nakaa jukwaani kinyonge sanaJamani moona huwa napita ukiniambia nipite? Jana tu na kizi
Kweli aisee nimemshtukia ๐๐Mate, chivundu ana pisi yake alitaka imuone ๐น๐น
Kama anabisha apite sasa hivi hapa na sisi tumuone..!! ๐น
TBT leoPita mamaa nakaa jukwaani kinyonge sana
Yoyote tuTBT leo
We unatupia ya sasa!BK ukitupia ulipokuwa 20's na mimi natupia. ๐
Wote hao wana macrush wao ๐นUtazeeka ukiwa single,๐น๐นhumuoni Steve Rodgers..spidernyoka...chivundu?
We unatupia ya sasa!
Usinune sasa ๐นHebu weka mahi nijione kwa uzuri๐คฃ
Wa kumvalia sina ๐นHio tamu hio
Ukivaa na mtaji wa vijora unapokea bila kuomba๐คฃ๐น๐ฅ
Anafanya illegal fishing ๐นKweli aisee nimemshtukia ๐๐
Kununa tayari bado kuangua kilio ๐คฃUsinune sasa ๐น
Huu uongo ๐นStaki mtu nataka niwe freee jukwani๐ฅณnijiachie
Tena kapita mara 2 ๐๐ผAnafanya illegal fishing ๐น
Unanuna bado sijashusha mkeka? ๐นKununa tayari bado kuangua kilio ๐คฃ
Ili kuonyesha msisitizo ๐นTena kapita mara 2 ๐๐ผ
Unapenda kujiamulia mambo sana๐นWote hao wana macrush wao ๐น
Steve Rodgerโs wako
Chivundu wa Chica
Spider binti kiziwi
Niendelee kushusha mkeka?
Ngoja uone nilivyohuru๐ฅณHuu uongo ๐น
๐น๐น๐น Wakatae kama nadanganya hapa?Unapenda kujiamulia mambo sana๐น