Selfika na JF: Snap it. Show it

Masuala ya ndoa ni personal choice, lakini sioni msingi wa hoja kwamba uchumi wa mwanaume lazima uyumbe kwa sababu tu ameamua kuwa na mke na mtoto.


tofauti ya cash flow ndani ya familia na nje ya familia ipo.

lakini si lazima iwe kubwa kiasi cha kuathiri stability ya uchumi wako, hasa kama tayari una financial foundation imara......

Kama ukiishi mwenyewe unalipa TSh 170,000 kwa mwezi, kuoa kutafanya kodi hiyo ipande moja kwa moja?

Not necessarily.

Gharama nyingine zitaongezeka, ndiyo, lakini si kila gharama itaongezeka kwa kiwango kikubwa.

Kuna baadhi ya expenses zitahitaji adjustment, lakini nyingine zitaendelea kuwa zilezile....


Ni kweli kwamba familia inaongeza financial responsibilities, na kuna channels za matumizi ambazo zinaweza kuongeza cash outflow.


Sasa kaka Tresor Mandala unakuta dogo anaishi chumba cha 15k na kila siku anapata pesa ya kununua utelezi huyu ataamini kwenye ndoa kweli.. ?

Vijana wengi ni wazito kubeba majukumu kutokana na personal reason wengi ni starehe na wanawake.

Huwezi ukawashauri ndoa ukiwapa ushahuri wanakuwa wakali sana na jibu lao ni " usitushauri wote ni Mara yetu yakwanza kuishi " 😄😄.

Gen Z is a different breed of fun. 😂
 
🤣🤣🤣🤣hii labda ya kutembelea chumbani aiseeee
😹😹 kuna zile shanga niliona za maandishi zinachekesha balaa..!!

Nilianza kusoma moja baada ya nyingine mpaka muuzaji akaniambia “Dada wewe sio mteja” 😹😹

Waungwana wana mineno mikali..!
 
Hapa ni selfika mkuu makala ndefu sana hii 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…