cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,977
- 200,690
Mie humu tayari ninae, 😂😂😂Jishindie mmoja🥳
Nishajizolea wangu, sitaki kuchelewa kabisa,
Mie humu tayari ninae, 😂😂😂Jishindie mmoja🥳
Hapo ndiyo nimepita naked sasa huwa naacha zinaonekana nguo tu 😹
Kumbe familia 🔥🔥 Madrid for lifeSio hatujiamini. Nina sababu zangu kuficha sura yangu humu. Hata hivyo ni leo tuu sababu, nimefurahi Real Madrid kumkanda mtu goli nne, kwa comeback ya kihistoria. 😊
Oooh kumbee, basi sawa.Nimerudia ile ile
Ila hua unataka wenzio wajianike 😅Sio hatujiamini. Nina sababu zangu kuficha sura yangu humu. Hata hivyo ni leo tuu sababu, nimefurahi Real Madrid kumkanda mtu goli nne, kwa comeback ya kihistoria. 😊
Kwako pia MkuuBasi sawa. 😁
Ndugu zangu wa selfika, usiku mwema nyote.
Nawe pia, afu nikuulize kitu? Kabla hujalala? 😂😂😂Basi sawa. 😁
Ndugu zangu wa selfika, usiku mwema nyote.
Kaka unazingua..Mie humu tayari ninae, 😂😂😂
Nishajizolea wangu, sitaki kuchelewa kabisa,
Mtaje shemeji yetu🌸Mie humu tayari ninae, 😂😂😂
Nishajizolea wangu, sitaki kuchelewa kabisa,
Soreee diha 🤗Ndo uniblesss😘
Hapa zinataka za mvuto tu, ukiweka zingine, inasema try again later, au please wait at the momentHalafu mbona hizi picha zetu za kizee zinagoma huku.? Au haturuhusiwi?
Jaribu jaribu tu💯🔥Halafu mbona hizi picha zetu za kizee zinagoma huku.? Au haturuhusiwi?
Kumbe familia 🔥🔥 Madrid for life
Sawa mtoto mzuriNitamsimulia kesho macho hayaoni tena 😅
Selfika, halafu uzuri mida hii watu wamelala..Halafu mbona hizi picha zetu za kizee zinagoma huku.? Au haturuhusiwi?
The Ghost WritterMtaje shemeji yetu🌸
Mwanya unao🥳❤️Soreee diha 🤗