Bana weeh, nimekoma kudate watu wafupi..!! πΉπΉHuu unakuwaga upuuzi Pro π€£π€£π€£
Mtu anakuwa na makasiriko na majungu utadhani nini sijui ..........
Halafu hata kama mnaachana utadhani wewe ndio uliyemtoa sealed lakini vichambo na shombo aisee π π π mahusiano ya kibongo ni ya kifala sana hasa yakifikie hatua ya kuachana
Kwenye hiyo generation z niondoe kabisaAnaziweza nginjanginja? Maana watu wa pande hizo na kule kwa kina To yeye hasa wanawake, Ke mmoja ni sawa na vijana wa gen Z 10
Kuelekea wapi?Hebu katiza
Harakati za Wakinga MkuuKwenye hiyo generation z niondoe kabisa
Ku moyoniKuelekea wapi?
Nisiseme sana ataleta mrejeshoHarakati za Wakinga Mkuu
Katoe copy nakala 3 moja uipeleke uongozi wa JF, nyingine upeleke kwenu na moja uje nayo kwangu..!!Tayari vipo na wadhamini wawili
SawaKatoe copy nakala 3 moja uipeleke uongozi wa JF, nyingine upeleke kwenu ma moja uje nayo kwangu..!!
We muache sumu haijaribiwi kwa kulamba..!!πΉAnaziweza nginjanginja? Maana watu wa pande hizo na kule kwa kina To yeye hasa wanawake, Ke mmoja ni sawa na vijana wa gen Z 10
Haya pita hapa nihakikishe uko Kama kweli wewe sio Gen ZKu moyoni
Yaan haelewi kabisa.This is perfect.
Udugu, huyu alikua anajifanya yeye classic sana, kisa kuwa hapo MUHAS, na mie wakati huo niko zangu kiskuli nakula msoto wa masomo, aliona sio hadhi yake.Hapo ndo unapozidi kumkera na hiyo bro πΉπΉπΉ
Hivi kwanza inakuwaje mpaka mmeshindwa kuitikisa amri ya sita?
Hii kweli naked πΉ
Nimeona uko msupuu sana π₯π₯Nishapita
πΉπΉπΉπΉ Alikuona sio level zake?Udugu, huyu alikua anajifanya yeye classic sana, kisa kuwa hapo MUHAS, na mie wakati huo niko zangu kiskuli nakula msoto wa masomo, aliona sio hadhi yake.
Eti toka niwe Hapo Main campus, kaanza usumbufu, namuangalia najisemea "hiii" kwanza sahivi namuona sio type yangu, atafute rika lake mxiiiieeew.
ππππ
Ni bless basiHii kweli naked πΉ
Uko vizuri ππ₯π₯
Una pua nzuri kama mshumaa wa pasaka..!! π
Una weusi mzuri wa kuteleza π₯π₯
Kweli we vitru zangu πΉ
TenaNimeona uko msupuu sana π₯π₯
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ila .....Hii kweli naked πΉ
Uko vizuri ππ₯π₯
Una pua nzuri kama mshumaa wa pasaka..!! π
Una weusi mzuri wa kuteleza π₯π₯
Kweli we vitru zangu πΉ
Kijana wangu apambane kwanza πππ asije ghafla akaanza kuanzisha nyuzi za makasiriko kuhusu Pisi za Jamiiforums.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ila .....