πΉπΉπΉMaadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho π€£
Huwa unapendega kunichokonoa lakini ππππ³ Alooooh!!
Manyanza kumbe mtramu hivi na mi sijui? π₯°π₯°
Mnaolalamika hatutunzi usichana nyie kuweza kwa vyuma km hivi?? πΉπΉ
Manyanza kwa uhansamu huu hutakiwi kufokewa kabisaaaβ¦!!
Weeh umanga wenyewe unao, em sababisha udugu..!!ππππ u manga niutoe wapii udugu?
Hebu nikwapueHatutaki vurugu na mademu zenu πΉπΉ
Unafikiri mi nikikwapua utarudi tena huko??
Mzee katuachia balaa πMwisho wapi bana, Nyerere na katiba lake bovu katuletea hekaheka tu!
Hapo ndo unapozidi kumkera na hiyo bro πΉπΉπΉMie simuiti Ex, namuitaga "Brooh" anakasirika hatari, utasikia "yaani wee nilicheza mistake bila kuweka alama hapo, ndio maana unadharau"
ππππ
Mi nakusifia bana kijana uko vyedi..!! πHuwa unapendega kunichokonoa lakini πππ
This is perfect.Namuelewesha mwenzangu hanielewi, namuambia alikua rafiki au mtu wa karibu tu, hataki kukubali.
πππ
Demu wako presha yake ipo vizuri?Hebu nikwapue
Zito aiseee..!!Mzee katuachia balaa π
Hebu katizaNimeona asieee π₯π₯
Huu unakuwaga upuuzi Pro π€£π€£π€£Mi mpaka nadolishiwa mwanamke mwingine, nabaki kucheka nawaona wote mataahira yeye na huyo chizi mwenzie..!! πΉπΉπΉ
Mapenzi ya kibongo yanchekesha sana!!
Ipo kawaida kabisaDemu wako presha yake ipo vizuri?
Sitaki kesi ya mauaji..!! πΉ
Oh My God , Thanks lady Momy πMi nakusifia bana kijana uko vyedi..!! π
Una m date mzungu?Huu unakuwaga upuuzi Pro π€£π€£π€£
Mtu anakuwa na makasiriko na majungu utadhani nini sijui ..........
Halafu hata kama mnaachana utadhani wewe ndio uliyemtoa sealed lakini vichambo na shombo aisee π π π mahusiano ya kibongo ni ya kifala sana hasa yakifikie hatua ya kuachana
Njoo huku ule samaki π π πππUna m date mzungu?
Mashahidi upande wa mshtakiwa si mmesikia?Ipo kawaida kabisa
πOh My God , Thanks lady Momy π
Tayari vipo na wadhamini wawiliMashahidi upande wa mshtakiwa si mmesikia?
Sitaki kesi baadaye ya kufanyiwa cross examination na mahakama..!!
Kijana kataka mwenyewe kukwapuliwa na mshangazi wa kikinga..!! πΉ
Haya kachukue barua ya mtendaji wako wa mtaa uje nayo..!!
Anaziweza nginjanginja? Maana watu wa pande hizo na kule kwa kina To yeye hasa wanawake, Ke mmoja ni sawa na vijana wa gen Z 10Mashahidi upande wa mshtakiwa si mmesikia?
Sitaki kesi baadaye ya kufanyiwa cross examination na mahakama..!!
Kijana kataka mwenyewe kukwapuliwa na mshangazi wa kikinga..!! πΉ
Haya kachukue barua ya mtendaji wako wa mtaa uje nayo..!!