Pita πΉNipite naked ?π€£
Tupe ya mwaka huuIle ni mwaka jana npo mjini
Sio kibongo Bongo wewe π€£π€£π€£Marafiki
Mbona nishapita huko juuPita πΉ
Sijaona, arudieKatupia na Leo tenaa.
Maadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho π€£Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
ππππMaadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho π€£
Kwa kweli arudie.Sijaona, arudie
π³ Alooooh!!
ππππ u manga niutoe wapii udugu?Baadaye utaweka tena, pita sasa hivi uzi u shine na rangi ya umanga manga..!! π
πΉπΉπΉ hapo chacha!!Na akuje tu hapa kwa kweli, πππ
Yaan yuko km Black Americans, alooooh
ππππΉπΉπΉ hapo chacha!!
Aje tuangalie uumbaji..!!
Hatutaki vurugu na mademu zenu πΉπΉHuko ni kututenga
Kwanza sisi tukiwakwapulia hatuwarudishii ndo baba Jane bye bye mpaka tuwafukuze sisi..!! πΉπΉπΉHatutaki zipigwe watu tuna amani kila siku sherehe ππ»ππ»π
Mnakuwa watu mliowahi kufahamiana tu.Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
πΉπΉπΉ Hapo hata mi sielewi..!!Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
Mwisho wapi bana, Nyerere na katiba lake bovu katuletea hekaheka tu!Nilikwambia jana ilikua ya mwisho maa karibu kwenye uzi tukamjadili Nyerere
Namuelewesha mwenzangu hanielewi, namuambia alikua rafiki au mtu wa karibu tu, hataki kukubali.Mnakuwa watu mliowahi kufahamiana tu.
Mi mpaka nadolishiwa mwanamke mwingine, nabaki kucheka nawaona wote mataahira yeye na huyo chizi mwenzie..!! πΉπΉπΉSio kibongo Bongo wewe π€£π€£π€£
Hapo lazima mtukanane sana na minuno kama yote.
Nimeona asieee π₯π₯Mbona nishapita huko juu