Selfika na JF: Snap it. Show it

Utamuona ni vitu vyangu haswaa, shida ya Spider, ni mfupi.
Vingine vyote yuko fresh, ila huo ufupi wake, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka😁,,sijui nipoje nikikutana na mtu mfupi lazima nijipimishe nae😁😁😁😁,,,Leo nimepishana na mkaka kafupi kananifikia kiunoni,,,huo mwendo Sasa🚢🚢
 
Nimecheka😁,,sijui nipoje nikikutana na mtu mfupi lazima nijipimishe nae😁😁😁😁,,,Leo nimepishana na mkaka kafupi kananifikia kiunoni,,,huo mwendo Sasa🚢🚢
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna namna mtu mfupi kwangu namtazama na namchukulia.

Yaan aaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…