binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,631
- 46,416
Uwe unapita mitaa hii, hata zile za simba na yanga zitaisha, Mwangalie Mahondaw huko juu kama hajafuta π€£Hapa stress zangu za Man U zimeisha kabisaπ₯π€
Kumbe kuna uumbaji nikiachana na mpira sikujua hili
Umeua mkuu π₯π₯
Same to you babes π€β€οΈbinti kiziwi bi mzuriiiiiπ₯°π₯°π₯°
Sasa nilale unono
Kazi hii hapa sasa π₯π₯π₯ππ
ila nasubiri ahadi ujue πSame to you babes π€β€οΈ
nimeshindwa kujizuia kukusifia aisee chukua maua yako πΉπΉ
Hiyo mlifanyiwa attemp assassination ππhahah sema simu nlokua nimeenda nayo nilisahau restaurant juzi kati ningetuma picha humu ushangae, msosi wa mtu 3 unakuja kama mpo 10. tulikaa kama week mbili lkn tulishindwa kuzoea. unaamka asubuhi saa 3 unaoga unakaa kidogo chai Thermos mbili na maandazi zaidi ya ishirini mixer chapati zaidi ya kumi hahah af ni matam balaa yanashawishi kula mengi unapumzika kidogo saa 6 ugali mkubwa na mboga saba kuku mara sato wa mchuzi wengine wa kukaanga mara nyama ya kuchoma mara ya kupika ukila kidogo utasemwa balaa π
Sio saiv tena labda nje ya mji
Jana nimeuziwa wali nyama elfu nne tena mgahawa local njaa iliniuma nikasema wacha nile nikaagiza wali nyama bila hata kuulizia bei nikijua hapa ikienda sana 2500π
Nimemaliza nauliza nilipe sh ngap naambiwa Elfu nne nilichoka π
Nikauliza Vita vya iran hivi hivi au mmetumia na vya Kongo π
Mate πKazi hii hapa sasa π₯π₯π₯ππ
Mate wa motoooo π
Tukupe taji la miss selfika sio kwa utramu huo wohii wohiii π
Kaka zangu mtajenga kweli? πΉ
Nimeona aisee..!! πNishaeka π€£
selfika tajiri pengine ntapata usingizi π₯Nipite niende wapi? πΉ
πππππππHapo sahihiπ
Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalizeππ
Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
Thank you champ! π₯°nimeshindwa kujizuia kukusifia aisee chukua maua yako πΉπΉ
Pita nilale umebaki wewe πNipite niende wapi? πΉ
balaa mkuu, nilipita kwa Bibi akachinja jogoo akapakua kila kitu kaweka mezani af tuko wawili tu π sina hamuHiyo mlifanyiwa attemp assassination ππ
Menu heavy hivyo mnabeba zegeππ
Twende mpaka choma na kule Bali camp πΉπΉMate π
Panga road trip ya moro kwa wana selfika tukale nguruka.
Uwanja wangu wa Nyumban huu sema itabid niongeze mahudhurioUwe unapita mitaa hii, hata zile za simba na yanga zitaisha, Mwangalie Mahondaw huko juu kama hajafuta π€£
π€£π€£π€£ nimelia sana !Nimeona aisee..!! π
Mbona miguu ya moet hiyo kama bango linavyosomeka nyuma ya pic πΉ
Kwahiyo usingizi wako unategemea pic yangu πΉπΉselfika tajiri pengine ntapata usingizi π₯