Mapema sana, natupia nyavuni bao kadhaa nachiliUna uhakika wa safari au sio? ๐น
Kule juu kabisa post ya uzi ,Mshana wakati anaanzisha huu Uzi mwaka 2019 kaandika kuwa kuna muda watu wanahitaji kurelease stress, wa enjoy waselfike.Nyie wadada wa selfika...acheni kutuma tuma sura zenu humu...wakaka wanasema nyie ni vikaragosi...yani mna sura mbayaaa...wabovuu...eti mnajisnap na kuji AI
So msione wana like hapa na kuwapa sifa baadae mtashangazwa mtakapoanzishiwa uzi...
Mi nilishaacha toka mwaka jana maana hawana adabu hawa...ila baadhi sio wote...๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Chica Gee vip tena kuna mtu kaibiwa ๐Ebanaaeeee in raraa reree voice
Oyaaaaa Mungu fundi, Sister you are so cute โค๏ธโค๏ธ๐ฅ๐ฅ๐ฅ binti kiziwi
Ni ujinga tuu....Kule juu kabisa post ya uzi ,Mshana wakati anaanzisha huu Uzi mwaka 2019 kaandika kuwa kuna muda watu wanahitaji kurelease stress, wa enjoy waselfike.
Hao wanaotaka warembo kuwawinda, nadhani hapa si mahali pake.
Kuna uzi wa picha Kali warembo world-wide waende huko.
Nashauri wasome uzi kwanza unataka nini, yawezekana hata Uzi wenyewe hawakuusoma.
Acha watu waselfike kwa raha zao.
Hawajalazimisha mtu kuwasifia, hawajalazimisha mtu kuwaona , hawatapeli cha mtu, hawajalazimisha mtu kutoa hela zake kuwapa.
Hata kama haupoNi ujinga tuu....
Uzuri upo machoni pa mtu...
Huyo baba mtakatifu ๐น๐นNa huyu sio mtu mmoja kweli mana min miez hii ya karibun kaonesha panic na kufungua viuz vya ovyo kwa ovyo kwa ovyo kama yule mwenye id nying
๐น๐น๐น๐น Khaaaa..!!kuna mbususu imesambazwa huko ni mbayaa jaman kama midomo ya wale mbwa wa Germany ๐
Acha umbeaTunawathare tu!
Chino ๐น๐น๐นUlikua unawaonesha wale ndegelesi how Bomba you are.
amini kwamba haha
Nilikuwa nakusoma wewe na min -me mnavyolisakata la matinyi. Usinisahau nami nipate angalau robo eka nilime mpunga.Acha umbea
๐คญThank you babes wangu mzuri ๐
Kuna visu humu ndio maana nimeanza kuwalia ๐nipate nguvu๐๐ hapana nilikuwa nasifia uumbaji wa Mungu
Hahahaha ๐๐๐, mbona watatubu naunga mkono hoja humu warembo ni wengi mnoKuna visu humu ndio maana nimeanza kuwalia ๐nipate nguvu
View attachment 3682537
Baada ya hapo cha kwanza naanza na
Ile shingo ya Mahondaw โบ๏ธ shwaa
Cha pili kinaenda kwa mtoto binti kiziwi
Cha tatu toto tundu mpka iwake moto Lamomy ๐
Thamani ya hizo ni madafu luuundo milima milima rubber band kibao...wallet la madafu linachakaa mapema sana ๐๐
Au sio๐๐Kuna visu humu ndio maana nimeanza kuwalia ๐nipate nguvu
View attachment 3682537
Baada ya hapo cha kwanza naanza na
Ile shingo ya Mahondaw โบ๏ธ shwaa
Cha pili kinaenda kwa mtoto binti kiziwi
Cha tatu toto tundu mpka iwake moto Lamomy ๐
๐น๐น๐น Twende, min kasema huu ndo muda wa kuandaa shamba..!!Nilikuwa nakusoma wewe na min -me mnavyolisakata la matinyi. Usinisahau nami nipate angalau robo eka nilime mpunga.
Kiboko ya leo Acha kushindana na watu wanaoingia period kila mwezi,