Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaume sio wakuwawekea mzamana (kwa sauti ya Zai kijiwenongwa)
 
Dah nimelia sana 😭😭😭😭 Umefanya makosa makubwa 🀣
 
Naomba hizo risiti for future use puliiizzzz 😹
Halafu ni mtu wa Selfika kwenye maugomvi ya nyuma enzi hizo alikuwepo πŸ˜‚ πŸ˜†

Niliona hizi nikiziacha Kuna siku nitazitumia tu , halafu jamaa atakimbia Jf na inaweza msabanishia stress sababu yuko active na ana heshima pia, kibaya zaidi aliweka hadi namba zake za simu kwenye hizo risiti katika harakati za kuFosi mchumba na alikuwa anaongea maneno ya chumbani aibu naona Mimi πŸ˜‚ πŸ˜†
 
Basi nishamjua, ana life ban? 😹😹
 
Siku hiz AI inakutengenezea kila kitu, huko twitter watu wametengenezea clip chafu kwa kutumia AI tu , ndio maana mapicha picha ni ishu nyeti sana kuzisharekizembe
 
Wanaume sio wakuwawekea mzamana (kwa sauti ya Zai kijiwenongwa)
Wanaume wa JF jau kweli..!!

Usiombe akujue umeisha, kuna siku tu atatamani wakujue.. na hivi tupo ulimwengu wa fake ids.. si ajabu akaja na parody kukuchoma..!!

Kama mdada aliyechomwa kilichomponza alikua nao wengi hivyo hajui yupi kamchoma..!! Hilo nalo tatizo…!!
 
Mimi mbona nna kifua ujue, kuna wakaka waliniapproach na pics zao wakanitumia mpaka wanapofanyia kazi lakini nimechuna hawaamini kama ni mimi Lamomy 😹😹

Kuna wengine nikisema nilipue patakua hapatoshi, wamejijengea heshima humu jukwaani..!!

Lakini nachukulia ile mimi mwanamke kutongozwa ni sehemu ya maisha tu..!!

Namjibu kistaarabu naendelea na maisha yangu na jukwaani tupo fresh..!!

Sasa ingekua mwanaume wa JF yeye ndo anamjua Lamomy weeh angetafutiza kila upenyo ili amuweke peupe apate sifa za kijinga..!! 😹😹😹
 
Ndo tuseme unaishi buza kweli/then what. Inamsaidia nini mtaka taarifa na mtoaji taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…