Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanawaogopa 😹

Mi kwakweli tunachambana vizuri..!!

Kwanza wasiwape pic zao full na wahakikishe na wao wanakua na risiti za midyudyu yao..!

Ili wakivujisha na wao wanavujisha.

Adui unayemmudu usimuachie Mungu.
 
Hahaha sijaponda na nyuzi naziweka chitchat , na wapo wadada mpaka ndugu zangu humu , hivyo ni hisia zako tu.
Ndugu zako wako selfika?
Kwanini usiwachambe kwenye group lenu la familia?

Min wewe mshkaji wangu kwa hili kubali umekosea..!
 
Kumbe wewe?
Mpuuzi 😹😹
 
Wanawaogopa 😹

Mi kwakweli tunachambana vizuri..!!

Kwanza wasiwape pic zao full na wahakikishe na wao wanakua na risiti za midyudyu yao..!

Ili wakivujisha na wao wanavujisha.

Adui unayemmudu usimuachie Mungu.
Sema nimegundua wanawake wana heshima sana masikini 😩😩😩

Hata kama hawana wadaunilodi vidudu vya gugo, vita ni vita muraaa πŸ˜‚
 
Ndugu zako wako selfika?
Kwanini usiwachambe kwenye group lenu la familia?

Min wewe mshkaji wangu kwa hili kubali umekosea..!
Hahah sasa hapo unanipangia namna ya behave 🀣 mimi nitaposti ninavyojisikia tu kama mods hawana shida ambae hapendi kuona kitufe cha ignore kipo live
 
Binafsi natamani uwepo ugomvi wa wadada na wakaka niingilie shida ni mafumbo tu hatujui nani ana ugomvi na nani .

Lamomy mwenyewe kanichambia min me ila lamomy hana shida nae kaona tu amsuuze.
Min mwanangu kabisa 😹😹

Nimeona hii style yake inamuharibia hata wewe utaogopa kucheka naye humu..!!
 
Min mwanangu kabisa 😹😹

Nimeona hii style yake inamuharibia hata wewe utaogopa kucheka naye humu..!!
Nitacheka mwenyewe tu πŸ˜†πŸ˜† nikichoka na log out
 
Hahaha , sioni tatizo, mods wangeona shida wangeufutilia mbali na wangenipiga ban , kama wameacha wameona hauna shida kabisa unafaa kwa matumizi
Una shida ndiomana umefutwa au bado upo twende kule?
 
Sema nimegundua wanawake wana heshima sana masikini 😩😩😩

Hata kama hawana wadaunilodi vidudu vya gugo, vita ni vita muraaa πŸ˜‚
Unapenda shengesha? 😹😹

Subiri kuna siku nitakutag wakianza humu..!!
 
Kumbe wewe?
Mpuuzi 😹😹
Ndio Mimi , maisha yanabadilika nimeChabge username kipindi kile nilikuwa natumia username "Invisible Mafia " Mimi si a masuala ya vinyogo sina ugomvi wangu unaisha haraka sana πŸ˜‚

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…