Selfika na JF: Snap it. Show it

Please usiondoke Tayana, dado tunakuhitaji sana humu🙏
No
Namaanisha sitakuwa active km zamani , ni kupumzika tu ....nothing more...ila tupo pamoja..
Nitakua napita mara moja moja km hivi najibu quote muhim ....
Ukishakuq mama mambo mengi si unajua tena, i need to get rest mkuu.....
🤝😃
Na arusha ss huku niko mgeni mpk nizoee
 
No
Namaanisha sitakuwa active km zamani , ni kupumzika tu ....nothing more...ila tupo pamoja..
Nitakua napita mara moja moja km hivi najibu quote muhim ....
Ukishakuq mama mamjo mengi si unajua tena, i need to get rest mkuu.....
🤝😃
😀😀
Nakuletea maembe wog weekend naenda shamba kwangu mpiji..!!
 
Kwanini una hasira na watu ambao wamegoma kujiattract na wewe?

Nimeona una chuki za ajabu na mabinti ambao wamegoma kukujoin either kwenye comment section au kukuchekea ujinga wako..!! Nini tatizo?
Hahahaha hapana ,wewe umefikiri tofauti , mimi wapumbavu wote wapo ignore list hata sitaki nione upumbavu wao, unahisi wapi mimi na wawaza wajinga wa humu?
 
Hahahaha hapana ,wewe umefikiri tofauti , mimi wapumbavu wote wapo ignore list hata sitaki nione upumbavu wao, unahisi wapi mimi na wawaza wajinga wa humu?
Sasa kama umewaweka ignore list kwann unaendelea kuwajadili?

Halafu hao wanawake unaowasema wabaya mbona wazuri sana..!!

Nini shida? Walikukataa?

Em weka mfano wa binti wa humu ambaye wewe unamuona mbaya?
 
Wewe , hao hata siwafikirii kabisa, hakuna mwanamke mzuri wa sura na umbo namsema vibaya humu , mimi na macho, wazuri wanaona live na sina unafki.

Kukataliwa iliwahi tokea nilivyoweka pesa ikakubaliwa ,hivyo na bendi na uhalisia kwa sasa mchumba
 
Min nikupe ukweli mchungu.

Wewe ni simp na unajijua..!!

Na tabia za masimp ni kujipa self defence kwa kusengenya wanawake pindi akikataliwa..!!

Zile nyuzi unazofungua ni kutaka kujifariji tu.

Nasikitika nilikushauri uache kubembeleza wanawake wanajiona special lakini nikasahau kukushauri pia usiwasengenye..!!

Sasa nikipata muda nitakupa mbinu mpya ambayo wewe utakua na amani na utaona wanawake ni kama viumbe wengine..!!

Halafu wewe mchaga wa wapi unakua mjinga mjinga..!!
 
Hahahaha mimi najua kupenda , na nikichukia nachukia kweli 🤣🤣🤣 usinichanganye na viazi
 
Mi najua ujumbe wangu umeupata na utaufanyia kazi..!!

Naongea na wewe kishkaji ili ukitoe kivuli kinachokutisha..!!

Ukiacha ukatuni wangu mi ni mshauri mzuri wa mahusiano..!!
Sidhani 🤣🤣 wewe ni rafiki yangu zamani mno ila hapa umefeli🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…