Linalowezekana leo lisingoje kesho..!!Kesho nitatuma upya nyingine π
Ndio maana watu wakadhani celeb wa west ππ₯°π₯°π₯°Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉ
Celeb wapi? Basi tu JF wanapenda kuona wote tumepauka na vumbi..!! πΉπΉNdio maana watu wakadhani celeb wa west ππ₯°π₯°π₯°
Igweeee mate, you look dope! π₯°
Hiyo ndio mida Yako ya kufunga hesabuππUmeona mida hii ndo naingia tulikua tunagombania mwendokasi..!!
Nisikize mimi achana na huyo tapeli..
Nilikua busy, simu kama zote hakuna utulivu kabisa. Hapa naona simu zimepungua so ngoja nishushe list ya nguvuπ₯Nishafika twende kazi..!! π₯π₯
Uzuri humu tajiri anajulikanaWacha weeh..!!
Wenzetu mliojipata mnakula maisha mpaka siku za kazi hamna weekend..!!
Hii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaaπSasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉ
Tajiri yetu sasa hivi ni mwendo wa Benz tuπNdio maana watu wakadhani celeb wa west ππ₯°π₯°π₯°
Igweeee mate, you look dope! π₯°
Hii chuma umenichanganya asee, umevuta lini? Hii Metho utamruhusu kweli hata asogeze?ππCeleb wapi? Basi tu JF wanapenda kuona wote tumepauka na vumbi..!! πΉπΉ
Awwww mate, thanks π
Igweeeeeeeeee
Shusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! πΉπΉπΉNilikua busy, simu kama zote hakuna utulivu kabisa. Hapa naona simu zimepungua so ngoja nishushe list ya nguvuπ₯
Ametuacha kwenye mataa! πTajiri yetu sasa hivi ni mwendo wa Benz tuπ
Bila shaka kabisa, ye akatae tu π€£Hii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaaπ
binti kiziwi nilikuambia lakini nadhani unajionea
Umenijaza mpaka nimepost bajaji yangu mtsiewwww πΉHii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaaπ
binti kiziwi nilikuambia lakini nadhani unajionea
Usiwe na haraka, wewe tulia mm ndio sterling I know what I do. Tulia, ngoja kwanza tumalize kujadili hii Mercedes maana umenivuruga kabisaπShusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! πΉπΉπΉ
Aje aungurumishe Benz la dada mkinga..!! πΉ
Kabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura JetourπAmetuacha kwenye mataa! π
Siku ukichange mind na kutaka kuingia kkoo alafu akazingua asee sitamuelewa nitammind sana aseeBila shaka kabisa, ye akatae tu π€£
Sema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle πKabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura Jetourπ
Country unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu ππππSiku ukichange mind na kutaka kuingia kkoo alafu akazingua asee sitamuelewa nitammind sana asee
Tajiri nicheck nna mazungumzo marefu na wewe muda huu(nipo serious)Umenijaza mpaka nimepost bajaji yangu mtsiewwww πΉ
Range anavuta fasta tu huyu, Kuna simu moja nilikua na video yake alinitumiaga ana burungutu za dollar mia mia. Nikiipata hiyo simu kesho nitakuletea hapa uone balaa lakeSema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle π