Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,724
- 34,688
Wewe hauwezi kuwa hivyo asee, ni mtaratibu sana na unaonekana una nidhamu kubwa sanaThank you country nashukuru sana
Sema wanasemaga watu wapole ni wakuwaogopa ๐
We dogo tumiaga akili basi.Kuvimiliki si shida unaweza! Ila alipotaja kuwa ulipata kiwanja Mbweni vikiwa rahisi.
Hapo ndipo si kukubali maana historia ya Mbweni naijua vilivyo. Kutoka makazi ya wavuvi wa kipemba, hadi kianzishwa Maputo. Enzi hizo Wafanyakazi wa chuo cha Usalama ndiyo wliokuwa wanalima matikiti.
Nakumbuka enzi za akina Afande Tibaijuka na watu kama Bruno ndiyo walikuwa na maeneo makubwa upande wa Mbweni Mpiji na hata huko Mbweni JKT wakati wa matamasha ya ufuska na mabangi.
Ikaja enzi za kupima viwanja 20,000 na wizara ya ardhi. Walio pata viwanja hivyo wengi walikuwa ni Wafanyakazi wa serikali.
Kwa umri wenu, kumiliki viwanja mbweni enzi hizo ni big no! Ila kuwa na kiwanja au ghorofa kwa sasa Mbweni ni sawa, maana hela zinatafutwa na wenye nazo ni umri wenu akina Lamomy
Basiiiiiii umemaliza Country!! Maelezo yako yamenyooka kabisa.Humu anazurura sababu ana vijana wake pale dukani hata asipoenda mwezi mzima biashara inaenda kama kawaida. Hata akienda yeye busy na simu tu labda wawepo wale wateja wake wakubwa ambao wengi ni wacongo
Yes ghorofa analo na ndio anapoishi yeye dada wa kazi, kijana mmoja, dogo mmoja hivi na kabinti flani hivi ka ndugu. Hawapo wengi sana.
Tatizo nabadilisha sana simu, ila ningekuonyesha hata upande tu hilo ghorofa, ni ghorofa haswaa
Ukiacha hizo za kibada kigamboni, pia Kuna sehemu panaitwa vikunai karibu na huko huko kibada napo ana mjengo japo sikuwahi kuuona Wala kujua kama kamaliza au bado.
Hii ya pharmacy nilikua sijakueleza deep vizuri, biashara ilikua ya pharmacy ila baadae ilipokua vizuri sana alianzisha polyclinic hapo hapo, so hapo Kuna pharmacy na polyclinic pia hapo hapo na inafanya vizuri tu.
Ni mpambanaji na pesa ameipata kweli, sijui nani kamfikisha hapo lakini ndio kafika hiyo level
Hana mkono mfupi, sio mchoyo anajitoa sana ukiwa karibu nae suala la vipackage na miamala ya hapa na pale Wala sio tatizo utafurahi sana
Ahsante sana, uzuri kumbe mifano unayo. Huyu huwa anajifanyisha hivi ili kukwepa kusaidia mtu ambaye serious anahitaji support flani au kushikwa mkono.Basiiiiiii umemaliza Country!! Maelezo yako yamenyooka kabisa.
Kwa habari ya kusaidia iko humu humu haujadanganya, na kuna muda anasaidia kupitia watu wengine, yaani mfano mimi nimpe mtu mwingine hela atoe kwa niaba yangu, Hii habari tunaojua tunajua.
Afu Country mbona umekuwa mtu mwema sana siku hizi unatupambania sana.
Hata hivyo sina uwezo huo wa kununua plot mbweni hata ningekuwa miaka hiyo unayosema..!!Kuvimiliki si shida unaweza! Ila alipotaja kuwa ulipata kiwanja Mbweni vikiwa rahisi.
Hapo ndipo si kukubali maana historia ya Mbweni naijua vilivyo. Kutoka makazi ya wavuvi wa kipemba, hadi kianzishwa Maputo. Enzi hizo Wafanyakazi wa chuo cha Usalama ndiyo wliokuwa wanalima matikiti.
Nakumbuka enzi za akina Afande Tibaijuka na watu kama Bruno ndiyo walikuwa na maeneo makubwa upande wa Mbweni Mpiji na hata huko Mbweni JKT wakati wa matamasha ya ufuska na mabangi.
Ikaja enzi za kupima viwanja 20,000 na wizara ya ardhi. Walio pata viwanja hivyo wengi walikuwa ni Wafanyakazi wa serikali.
Kwa umri wenu, kumiliki viwanja mbweni enzi hizo ni big no! Ila kuwa na kiwanja au ghorofa kwa sasa Mbweni ni sawa, maana hela zinatafutwa na wenye nazo ni umri wenu akina Lamomy
Pumzika list iwe ya wazito huenda nikaachana na uwinga..!! ๐นNikitoka hapa nitarudi nilale kidogo alafu nakuja nayo list konki
Dah! ๐นUlitaka kumuongopea Binti kiziwi, sio vizuri
Wapo wengi humu โฆ.Ahsante sana, uzuri kumbe mifano unayo. Huyu huwa anajifanyisha hivi ili kukwepa kusaidia mtu ambaye serious anahitaji support flani au kushikwa mkono.
Huna deni kama mama yenu ๐๐ฉSababu yako wewe ndio nikaona niandike ukweli ili siku ukiamua upite hiyo njia alafu akizingua basi ujue tu rmekufanyia roho mbaya. Lakini nina uhakika kwako hawezi chomoa
Awesome ๐๐ปSasa hivi umri inabidi mambo mengi ya hovyo niweke kando, nina forty now so lazima nibadilike zaidi๐
Au sio ๐นUkweli nimeusema, mwenye masikio na asikie
๐น๐น๐น Na wewe umekubali kudanganywa?Mate habari zako tunazooooo ๐๐ป๐๐ป๐๐ป๐๐ป
๐น๐น๐น Utafanya nishindwe kusaidiwa sasa na hizi sifa za uongo unazonipa..!!Utanisamehe jana niliamua kusema ukweli baada ya kuona unataka kumuongopea Binti wa watu, sio poa bana
Ulikuwa kwenye tamasha la miaka 30 ya bongo fleva? ๐นNilikua sehemu jana hadi mida mibovu nikachelewa kurudi na kulala, hapa nina usingizi. Nikimaliza kazi zangu inabidi nilale kidogo
Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! ๐นBasiiiiiii umemaliza Country!! Maelezo yako yamenyooka kabisa.
Kwa habari ya kusaidia iko humu humu haujadanganya, na kuna muda anasaidia kupitia watu wengine, yaani mfano mimi nimpe mtu mwingine hela atoe kwa niaba yangu, Hii habari tunaojua tunajua.
Afu Country mbona umekuwa mtu mwema sana siku hizi unatupambania sana.
Tulia mahi!Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! ๐น
Kichwa kilikua kizito, hapa nishaamka nipige hdta push mbili tatu nioge alafu nije kwenye jambo lako, mwaga moto kama dragon๐ฅ๐ฅPumzika list iwe ya wazito huenda nikaachana na uwinga..!! ๐น
Usimfanyie hivyo bana, Binti kiziwi ni Binti mwerevu sana na mstaarabu hivyo haipaswi kumuongopea๐Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! ๐น
Jana? Hapana asee. Nilikua na mambo tu flani somewhereUlikuwa kwenye tamasha la miaka 30 ya bongo fleva? ๐น
Kina coca ndio inapaswa kuwaongopea ila Binti kiziwi hapana bana ngoja nimueleze tu ukweli๐น๐น๐น Na wewe umekubali kudanganywa?
Alafu nilisahau, ana Forester XT kama Ile yako. Yake ni nyeupeTulia mahi!
Hili nalikumbuka toka kwenye ule uzi niliowekaga picha ๐๐Alafu nilisahau, ana Forester XT kama Ile yako. Yake ni nyeupe