binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,359
- 45,493
Weee humu tunaombana picha tunaojuana (wana hili jukwaa) Wewe ni yupi? 🤣 Au wasiojulikanaSelfika wamelala
Nami mwanajukwaa najulikana usinitenge au ni la wakongwe tu hili jukwaa??Weee humu tunaombana picha tunaojuana (wana hili jukwaa) Wewe ni yupi? 🤣 Au wasiojulikana
Tutakufatilia 😀😀😀Nami mwanajukwaa najulikana usinitenge au ni la wakongwe tu hili jukwaa??
Uliza kiatu😍Tutakufatilia 😀😀😀View attachment 3676023
Kantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala 😹😹Country ni mbea tu lakini sio Muongo 😂
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa 😅
Igweeeeeeeee 😍😍😍Tutakufatilia 😀😀😀View attachment 3676023
Ungekubali akukatie go and return, unaenda kuenjoy unarudi, K ataisikia kwa jirani yake! Ila vya bure vigumu bwana bora ulivyokataa…Kantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala 😹😹
Kuna member mpaka kaniomba date tukutane Dubai wakati mwenzie sijawahi kupanda ndege..!! 😹
Mate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?Anajua kujaza huyo, usipokua makini anakuingiza chaka unione nna roho mbaya bure mate..!!
Igweeeee ❤️❤️Igweeeeeeeee 😍😍😍
Mate Una balaa..!!
Jamani watu wazuri jamaniii 😘
Hapa 10/10 minus NOTHING
Mi muoga jamani kukutana na raia wa humu.Ungekubali akukatie go and return, unaenda kuenjoy unarudi, K ataisikia kwa jirani yake! Ila vya bure vigumu bwana bora ulivyokataa…
😹😹😹 Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?Mate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
Kwa kweli na ulivyo lele lele siasani 😂😂Mi muoga jamani kukutana na raia wa humu.
Namjua mkongwe lakini nahisi kina mafwele tu..!!
Kama sio leo kesho inshallah tutafika🔥Hiyo kuzama pm tu njia iliyotumika nabaki kucheka..!! 😹
😹😹😹 Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
Ninavyowasuuza na kuwachefua, halafu anavyojifanya naye anawaponda veggies sasa..!! 😹😹😹Kwa kweli na ulivyo lele lele siasani 😂😂
Inshallah in Jesus name 🙏Kama sio leo kesho inshallah 🔥
Kuna ID moja ina hiyo tabia nikiona comment yake ntakuita ucheke 😂 Tukae kimasta. Kusema ukweli JF inatisha siku hizi mbona zamani kulikuwa hakuna kuogopana?Ninavyowasuuza na kuwachefua, halafu anavyojifanya naye anawaponda veggies sasa..!! 😹😹😹
Tatizo member wa humu hawatabiriki, I’d hii inaponda veggie kumbe afisa kipenyo anawachora tu..!! 😹
Inshallah in Jesus name 🙏
Ipi hiyo? 😹Kuna ID moja ina hiyo tabia nikiona comment yake ntakuita ucheke 😂 Tukae kimasta. Kusema ukweli JF inatisha siku hizi mbona zamani kulikuwa hakuna kuogopana?
Wewe sio mzungu kweli jamnTutakufatilia 😀😀😀View attachment 3676023
Nawe tupia tukuone mkoreaWewe sio mzungu kweli jamn
Mnyaturu mamdogo 😅😅 Miss you, ulikuwa wapi?Wewe sio mzungu kweli jamn
Mufanga sanaMnyaturu mamdogo 😅😅 Miss you, ulikuwa wapi?
Umetutelekeza kwenye maakuli.
Ipi hiyo? 😹
Kuna watu wapuuzi humu..!
Dah 😀 tumekwisha.Kuna babu miga na wenzie wana tabia ya kuomba mkutane kisha analeta risiti humu jukwaani… Hao ni hatari sana..!! 😹😹
Ila kweli 🤣Zamani ipi?
Kuna kina manengero na demiss mbona waliletwa hapa na wakongwe wenzao..!!
Mufangaaa, ujaaa?Mufanga sana
Ebu selfika tena nikuone kama wewe ndugu yangu kwelMufangaaa, ujaaa?