Kwa hiyo unatufukuza auu
Aimennn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umekubali
Tuelekeze hebu
Karibu sana jamani!!
Tutakuwa kwa Karma wanachama wote wa uzi wa selfie
Hahaaaaaha kwa hiyo unawaroga siyo mzee Baba,Ngoja nkapulize nitoe mashetani ya Ugenini.Ili afahamu kuwa uhuru wake wa ID bandia una mipaka [emoji34][emoji35]
Jr[emoji769]
Ni pm nikuhadithie dada angu..😢😢Unaendeaje wewe mdogo wangu!
Utakua kati 24 mpka 27. Though sio mzuri katika kudhania..
Nitamuita Mshana Jr akujie pm maana hutaki nicheke kabisa
Utakua kati 24 mpka 27. Though sio mzuri katika kudhania..
Nimepatia?
Hahahaha kumbe sijakuacha sana.. pole kua mdogo
Hahahaha kumbe sijakuacha sana.. pole kua mdogo