Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

vijana wenzangu wa kiume tufanye kazi kwa bidii na tutafutane pesa sana. vinginevyo kuna baadhi ya maisha tutakuwa tunayaishi kwa kupitia ndoto tu.

huu ni mjengo wa kijana mwenzetu mtanzania kama unavyoonekana kwa ndani.nilienda kumtembelea hivi karibuni nyumbani kwake, akaniruhusu nifanye utalii kidogo.

hongera sana "nshomile" richard kwa mjengo huu.
GIF-191215_125543.gif
 
View attachment 1293073
tapatalk_1576335289984.jpeg

Jr
 
Back
Top Bottom