Utaweza kumsubiri mtu akuletee pesa ambaye huna miahadi naye? ๐น๐น๐นMwenetu huo ndio u Boss wenyewe, Mi nikigonga 35 natema ndoano nije huko mnipe connection.
Ngoja tujikusanye kusanye kwanza.
Ni basi tu tumeletewa social media sio kwaajili ya kujipost sisi sio celebrity ๐ heri wanaofanyia biashara.Nina pics nyingi lakini sipost kokote, huwa ni kwaajili yangu tu..!!
Nikipost sichukui muda nafuta, huwa najiuliza maswali mengi.
Napost ili iweje? Nimepotea? Nimekufa?
Nataka kumuonyesha nani? Ili iweje? Basi nikishajiuliza maswali hayo kama nilipost nadelete nalala..!!
Wa cuba huyo ๐Rafiki zangu pic zangu kuzipata mpaka wanivizie wanipige bila mimi kujua..!! ๐น๐น
Kuna siku niliweka video WhatsApp naimba, nikaikuta kwenye status nyingine ya mtu ambaye sina uhusiano naye kaniwekea na ๐ฅฐ aiseee nilikiwasha nikamwambia futa haraka..!! ๐น๐น๐น
Naona kabisa anatengeneza movie la mapenzi na kutaka nionekane tunadate kitu ambacho si kweli..!!
Aloooooh! Ntamwambia show me your ways master! Igweeee ๐คฃAkupe connection huyo asikutanie kabisa, ana maduka makubwa mawili ya jumla
๐๐๐
sawaaView attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw win-one tumeni picha tusuuze macho
๐ฆฆHighest in the room
๐ฅฐ๐ฅฐ ๐ฅ ntalala kwa amani sasa๐ฆฆ
Et eenh ๐๐ฅฐ๐ฅฐ ๐ฅ ntalala kwa amani sasa
Mana nlikuwa napata usingizi wa mang'amu ng'amu.Et eenh ๐
Why?? Steve RogersMana nlikuwa napata usingizi wa mang'amu ng'amu.
Mimi ni hizo dread rocks ๐ฅฐ๐๐ฅ
Chica hatukuoni vizuri tafadhali๐ฅธ
Kwakweli hapa sikudai kitu.Sina deni ๐คญ tumemalizana Steve Rogers
๐๐ zimefanyaje?Mimi ni hizo dread rocks ๐ฅฐ๐๐ฅ
Okay ๐Kwakweli hapa sikudai kitu.
I'm satisfied with what I see ๐ฅ