MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,522
- 13,803
Bei ya kawaida tu, jichange utapoishia nambie niongezee tuje wote. Pako 100/10 ππ₯Basii tuishie hapo tu! Mambo ya kusave miaka 6 sitoweza!
Panaonekana tu si mchezo unaandikia mateππ½ Sawa nitajichanga nishtue roho za kimasikini πBei ya kawaida tu, jichange utapoishia nambie niongezee tuje wote. Pako 100/10 ππ₯
Hapo ni lake tanganyika view hotel binti kiziwiWapii migebukaπ
Santana!!π
Migebuka yangu naipataje?πHapo ni lake tanganyika view hotel binti kiziwi
Akija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisaMigebuka yangu naipataje?π
Halafu? Mimi nazitaka anonymously πAkija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisa
Hapo unahitaji mdada mrembo wa kupoa naye..!! Tafuta watoto wa ki Zanzibar mkuu. πΉView attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw win-one tumeni picha tusuuze macho
Migebuka au na mawese kabisaHalafu? Mimi nazitaka anonymously π
Maisha haya magumu sana..!! πΉπΉππ
Migebz..Migebuka au na mawese kabisa
Hiyo mifano ya nyuki mi sitaki..Mwanaume ndio anachaguliwa, ndio tunapoint.
Nyuki ndio analifuata ua, sio ua linafuata nyuki
Say no moreMigebz..
Kanda ya ziwa moja hii, nilikua huko wiki iloisha maisha murua kabisa π₯Kwa ridhaa ya rafiki.View attachment 3675308
Yuuup! Kahama.Kanda ya ziwa moja hii, nilikua huko wiki iloisha maisha murua kabisa π₯
Watoto wa Kizanzibari siwawezi jitolee tu wewe apo uokoe jahazi πHapo unahitaji mdada mrembo wa kupoa naye..!! Tafuta watoto wa ki Zanzibar mkuu. πΉ
Nina pics nyingi lakini sipost kokote, huwa ni kwaajili yangu tu..!!πππ©π©
Na huu ndio uzuri wa maisha, My camera roll ina moments nyingi sana ambazo sijazipost popote, Infact najutia siku niliyoanzaga kupost πππ Sijajua ni kiherehere gani kilinituma.
Maisha yalikuwa mazuri sana chini ya maji. Watu hawajui uko wapi unafanya nini unaishi zako unaenjoy kimya kimya.
Mi hapana msubiri kuwadi wako akutafutie wa kukupa aiseee..!! πΉπΉπΉWatoto wa Kizanzibari siwawezi jitolee tu wewe apo uokoe jahazi π
ushachelewa mama MioNdo natinga saii mrembo fanya mambo asubuhi yangu iishe vizuri.