Selfika na JF: Snap it. Show it

Mate weka vitu basi acha kucheka unaniangusha..!! Forest Hill stand up 😹
Nimepita mate shwaaa! Umechelewa ulikuwa unazurura mafisa 🀣

Afu niliona comment yako kwa chiwawa nilicheka sana nikakumbuka mbali dah mitaa yetu nilikuwa na rafiki mrembo hatari mweusi mrefu kwao huko, mgomvi hatari 🀣
 
Yani mi na kuzurura humu, Nilikuwa kwenye uzi wa mtibeli na badge yake ya platinum huko anatamba..!!

Aiseee mafisa, chamwino, mji mpya, sabasaba area six vibandani 😹😹😹
Nilikuwa maeneo hayo juzi kati nilicheka sana..!!

Hujamiss mambo club na bwalo 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…