binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,359
- 45,497
Haha haya uselfike, tumekumiss wana jukwaa.Ngoja nipate Glass ya maji kwanza.
Kuna vitu vimenikaba ghafla.
Seran is maxing the scale. The load is too heavyBaada ya kusoma kwenye comments seran ni msukuma ndio nimeelewa why ako na ike figure.
Huyu ndo mfalme wetu ? Wacha nimchochee mama mchungaji huko alikoπ
Pita hapo nipite kabla sjaenda ziwanHalafu unanichelewesha kulala unajua? Nibless basi mwanangπ«΄πΎ
Haha au twende mazana beach?binti kiziwi unapita saa ngapi
Humu sifikiri kuna asienijua labda wewe tu πHuyu ndo mfalme wetu ? Wacha nimchochee mama mcungaji huko akikoπ
Ishiii unapajuaHaha au twende mazana beach?
Kumbe nina figure na hamniambii? Ila ππ½ββοΈBaada ya kusoma kwenye comments seran ni msukuma ndio nimeelewa why ako na ike figure.
Una namba nane ya auchoKumbe nina figure na hamniambii? Ila ππ½ββοΈ
Mnanikosesha raha ya kujianika humu kwa kuzidisha sifa wananguπππ½ββοΈSeran is maxing the scale. The load is too heavy
Ntapita i' ma @ youHaha haya uselfike, tumekumiss wana jukwaa.
Uje nkupeleke kisiwaniVizuri kabisa, Kazi yangu inanipelekaga kanda hiyo, Rukwa, katavi na Kigoma mara kwa mara
Siunajua michezo yangu mpaka nichonge chonge viungoπ kwani mchana ulikiwa wapiπ€Pita hapo nipite kabla sjaenda ziwan
Inawezekana kabisa mimi ndio naiona leo hii!Humu sifikiri kuna asienijua labda wewe tu π
Mchana nilikua mnadani uvinzaSiunajua michezo yangu mpaka nichonge chonge viungoπ kwani mchana ulikiwa wapiπ€
uwenda upo sahihi mkuu, mimi nmeshuhudia tu reception ni 100% . kumbe na big booty ipo π πππΎ
Sawa bwana spider! Mi nalala umeninyima mabarakaUna namba nane ya aucho
Basi imeisha hio mwandamiziIpo mkuu, anayo. π
Usilale kabla ujapita hapaSawa bwana spider! Mi nalala umeninyima mabaraka