Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,233
- 95,200
Hakuna wa kukutoa hapo mama we ni 10/10 nakuhakikishia👌🏽Nataka nianze kumlea, nilimchagua siku ile ila ma binti wa humu mnataka kuni toa kwenye kompetisheni 🤣
Hakuna wa kukutoa hapo mama we ni 10/10 nakuhakikishia👌🏽Nataka nianze kumlea, nilimchagua siku ile ila ma binti wa humu mnataka kuni toa kwenye kompetisheni 🤣
Halafu unanichelewesha kulala unajua? Nibless basi mwanang🫴🏾Bado wewe sasa
Haha haya uselfike, tumekumiss wana jukwaa.Ngoja nipate Glass ya maji kwanza.
Kuna vitu vimenikaba ghafla.
Seran is maxing the scale. The load is too heavyBaada ya kusoma kwenye comments seran ni msukuma ndio nimeelewa why ako na ike figure.
Huyu ndo mfalme wetu ? Wacha nimchochee mama mchungaji huko aliko😁
Pita hapo nipite kabla sjaenda ziwanHalafu unanichelewesha kulala unajua? Nibless basi mwanang🫴🏾
Haha au twende mazana beach?binti kiziwi unapita saa ngapi
Humu sifikiri kuna asienijua labda wewe tu 😁Huyu ndo mfalme wetu ? Wacha nimchochee mama mcungaji huko akiko😁
Ishiii unapajuaHaha au twende mazana beach?
Kumbe nina figure na hamniambii? Ila 🙇🏽♀️Baada ya kusoma kwenye comments seran ni msukuma ndio nimeelewa why ako na ike figure.
Una namba nane ya auchoKumbe nina figure na hamniambii? Ila 🙇🏽♀️
Mnanikosesha raha ya kujianika humu kwa kuzidisha sifa wanangu🙄🙆🏽♀️Seran is maxing the scale. The load is too heavy
Ntapita i' ma @ youHaha haya uselfike, tumekumiss wana jukwaa.
Uje nkupeleke kisiwaniVizuri kabisa, Kazi yangu inanipelekaga kanda hiyo, Rukwa, katavi na Kigoma mara kwa mara
Siunajua michezo yangu mpaka nichonge chonge viungo😎 kwani mchana ulikiwa wapi🤔Pita hapo nipite kabla sjaenda ziwan
Inawezekana kabisa mimi ndio naiona leo hii!Humu sifikiri kuna asienijua labda wewe tu 😁
Mchana nilikua mnadani uvinzaSiunajua michezo yangu mpaka nichonge chonge viungo😎 kwani mchana ulikiwa wapi🤔