Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,296
- 95,339
Kabisaa shorii👌🏽💃🏽Mwaya ringa kwa kile ulichopewa na mama.
Kabisaa shorii👌🏽💃🏽Mwaya ringa kwa kile ulichopewa na mama.
🤣🤣🤣🤣🤣 ila!!Kama mimi navoringia uziwi wako ya wengine huyasikiii
Shida ya seran maneno mingi picha kidogoKabisaa shorii👌🏽💃🏽
Kweli?? Unitumie gebuka moja nipime maneno yako😂Migebuka watamu kuliko hao wa kwenu sato
Unanisingizia mchana tulikuwa hatuongei ni vitendo tu, muulize steve😀Shida ya seran maneno mingi picha kidogo
Hata akiwa mmoja anaitwa migebukaKweli?? Unitumie gebuka moja nipime maneno yako😂
Kumbee! Ukisema mgebuka waha hawakuelewi? 🤣Hata akiwa mmoja anaitwa migebuka
Ntakutumia migebuka na mafuta ya migazi
Sijui mnaitaje huko kwenuKumbee! Ukisema mgebuko waha hawakuelewi? 🤣
Hayo mafuta ni zao la nini?
Na interesting part ni kwamba, she knows she's fine.Si ndio. Ana balaa huyu Seran
Ndo mana hapitii mpaka replies 78Na interesting part ni kwamba, she knows she's fine.
Ooh mafuta ya mawese🫢Sijui mnaitaje huko kwenu
Nmechomekewa ni palm oil
How jameni🙆🏽♀️Na interesting part ni kwamba, she knows she's fine.
Yes wanaandalia Nguruka kama unawajuaOoh mafuta ya mawese🫢
Mwaya ringa kwa kile ulichopewa na mama.
Kama ulivo sema maneno mengi pic chache anaringa sana huyo mkuu .Ndo mana hapitii mpaka replies 78
Jamanii na haya yamo sio🫢Ndo mana hapitii mpaka replies 78