Dogo anawinda kivyake wewe ndio unajichosha mwenyewe! Jiwindie mwenyewe😅Sawa mkuu, ngoja niangalie pengine pa kumuweka. Sijui wapi sasa doh huyu dogo kawa miyeyusho sana
Naanzaje kwanza😁Kama nakuona ulivyoshindwa kunizuia🚶♀️🚶♀️
Hakuna namna nililala japo Kwa shida sana.Polee sana lala tu kama siku nyingine
Achana na huyo mdogo wako sitakiHakuna namna nililala japo Kwa shida sana.
Tuachane na hayo Chica, Kuna mdogo wangu humu umemvutia sana....
Weka mambo mrembo🔥Muda ndiyo huu. Countrywide
😅😅😅😩😩nimeshindwa kuvumilia ulisema pc zote mbovu tu😹😹😹Unataka kunichoma eee 😂
Hupendi wachagga?Achana na huyo mdogo wako sitaki
Namaanisha weweWeka mambo mrembo🔥
Nilikuwa nmelewa ile siku, ila em nibless hata rasta zako tuu ili nikemee ile kauli😅😅😅😩😩nimeshindwa kuvumilia ulisema pc zote mbovu tu😹😹😹
Mimi na Wachaga Damu damu 🤭Hupendi wachagga?
Mimi nishazeeka ndio maana nafight kwa huyu dogo😆😆Dogo anawinda kivyake wewe ndio unajichosha mwenyewe! Jiwindie mwenyewe😅
Mlevi akilewa ndiyo huwa anaongea ukweliNilikuwa nmelewa ile siku, ila em nibless hata rasta zako tuu ili nikemee ile kauli
Ng’ombe hazeeki maini, jichukulie ubavu humu ishi hapo! Huyo dogo unampambania sana au kuna commission?Mimi nishazeeka ndio maana nafight kwa huyu dogo😆😆
Mambo ndio haya sasa Chica, ndio maana nakupenda asee upo real🔥Mimi na Wachaga Damu damu 🤭
😁😁😁😁,Naanzaje kwanza😁
Mm n tofauti, nikilewa naongea pumba 😎Mlevi akilewa ndiyo huwa anaongea ukweli
Kama sio kunipanga niweke chapu kabla sijafumaniwa 😁Nilimuweka huyo dogo Tarimo lakinj akazingua😅
Hawa madogo wa kichagga jau sana mkuu, Bora ungekaa wewe tu. Lakini usijali ipo copy ya miss eyes humu humu nikuweke?