makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,576
- 108,912
Subiri kwanza niwatizame CHELSHIITKweli sitanii bana maka πΉπΉ
Tupia yenye kamwanya basi π
πΉπΉπΉ Wanakamati shughuli tuliiendesha barabara muda wa kukata cake wenye ukumbi mods wakatulima ban πΉππππ khaaah
Sijambo, mzima kabisa nipo winja nasoma tu shengesha zenuπ πCantry bila kunitaja huwa hujamaliza wala kuridhika?
Kwanza hujambooo? πππ
Wewe si unauza hizi T-shirt tena unazisifiaga ni quality kabisaπ πNa Tshirt si unajua napenda white Tshirt..!!
Kesho unifanyie deriver mapema jpili nivae misa ya kwanza..!!
πΉπΉπΉWog ana moyo mdogo hajazoea skendo mamchu wawatu inaonekana ameumia sana
πππ JF ina vituko, heka heka mwaa mwiii.Umefika πΉπΉπΉ
Mi naona wog anatishia nyau.
Nimemwambia anitajie waliyenijadili na babu miga anaruka ruka..!! Nataka nimuanzishie shuhuli ili amalize..!!
Nipo hapa natizima na mimi..!!Subiri kwanza niwatizame CHELSHIIT
πππ yeye anakuja na hitimisho, mbona kasema.Yani wog litamkuta jambo soon tupo hapa wanakamati.!! Na alivyo hachelewi kulia sasa πΉπΉπΉ
πππ itakua ni Yeye huyo wallah.πΉπΉπΉ Mafwele ana namba za nchi tofauti tofauti..!!
Wog mpole kama tinslay.πΉπΉπΉ
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga πΉπΉπΉ
Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! πΉπΉπΉ
Bila yeye kunisanua nisingemjua πΉ
Chino hii nimeipenda, kwa kweli.Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.
Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
Mimi nauza vijora na Tshirt wapi na wapi? π³Wewe si unauza hizi T-shirt tena unazisifiaga ni quality kabisaπ π
πππ ameenda kujipanga, akirudi hapa ni π₯π₯π₯Tina kapotea πΉπΉ
Nature yao inaruhusu na yuko fit kila idara nguvu anazo resource anazo yani akikukamata huchomoki kirahisi. Afu Wanaume wengi do cheat mbona.Mio anakupenda sijui kipi huwa kinamfanya akusaliti..!! π₯
πΉπΉπΉπΉ Anatuchomesha mama wa brand na hilo hitimisho lake..!!πππ yeye anakuja na hitimisho, mbona kasema.
πππππΉπΉπΉ
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga πΉπΉπΉ
Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! πΉπΉπΉ
Bila yeye kunisanua nisingemjua πΉ
Nimemuonaa uduguu, πππLeo kaselfika πΉπΉπΉ
Utapigwa shot za chuchu shauri yako πΉπΉπππ itakua ni Yeye huyo wallah.
πππ ni Leo au??πΉπΉπΉ Wanakamati shughuli tuliiendesha barabara muda wa kukata cake wenye ukumbi mods wakatulima ban πΉ
Kabisa, hapo alikuwa anatype huku anatetemeka πΉπΉπΉWog mpole kama tinslay.