[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi shee wale maadui zako huwa mnakwaruzana nje ya jf then wanakuja kumalizia hasira jf au ni kwenye hizi hizi comments za id fake? [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Bora mie sijapitia nyuzi zingine kabisa humu, ni hapa tu.
Pole sana mama.
Sio kila post lazima ujibu Sakayo au mfano mtu akiku quote kwa upambavu wake unamuweka kwenye ignore list huna haja ya kushindana na watu wasiojulikana, unajua Jf ilikua zamani watu waliheshimiana na watu walikua na hoja kuliko matusi sio siku hizi vitoto ni vingi na vina maneno kweli na majibu ya hovyo.. Ukitaka kuishi maisha yenye furaha jifunze kupuuziaWewe wanakuogopa kaka!! Sasa kina sisi utaomba poo
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Ni kwa vile sitanii nikisema nitafanya ujue nitafanya kweli
Jr[emoji769]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji109][emoji123][emoji123][emoji116]
Jr[emoji769]
Na hivyo ndo huwa nafanya, ila sijawahi weka mtu kwa ignore list!!Sio kila post lazima ujibu Sakayo au mfano mtu akiku quote kwa upambavu wake unamuweka kwenye ignore list huna haja ya kushindana na watu wasiojulikana, unajua Jf ilikua zamani watu waliheshimiana na watu walikua na hoja kuliko matusi sio siku hizi vitoto ni vingi na vina maneno kweli na majibu ya hovyo.. Ukitaka kuishi maisha yenye furaha jifunze kupuuzia
Hahahahahaha
Mimi napenda sana amani kwa kweli, wangeniita ngombe nitaambia nini watu mimi jamani!! Ningeumia sana, baada ya kuusoma upepo nikaona nikuje huku kutoa sumu mwilini...
Mimi sitakagi upuuzi tubishane kwa hoja sio matusi dhihaka na kejeli.. Usinichukie kisa mtazamo... Mimi sikuachi salama lazima nikubanike[emoji35][emoji34]
Jr[emoji769]
Sio kila post lazima ujibu Sakayo au mfano mtu akiku quote kwa upambavu wake unamuweka kwenye ignore list huna haja ya kushindana na watu wasiojulikana, unajua Jf ilikua zamani watu waliheshimiana na watu walikua na hoja kuliko matusi sio siku hizi vitoto ni vingi na vina maneno kweli na majibu ya hovyo.. Ukitaka kuishi maisha yenye furaha jifunze kupuuzia
Hahahahahaha nakuletea mguu kwa mkono auntie, this Christmas [emoji39][emoji39]Uhujumu uchumi huo auntie. Haya mmoja namsubiri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I second you,, mie kuna mtu aliniuliza eti mbona sichangii kwenye nyuzi nyingine nipo huku tu nikamuambia huu uzi ndiyo nimeshafunga nao ndoa hivyo tena ya kikristo maana nalala nao naamka nao.. nisipokuwa humu basi nipo kule kwenye uzi wa kupeana likes nimemaliza sitaki stress mie
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelewa lugha za mjini sasa.Chanzo cha mafurushi hiki hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
Manii zilizokosea njia! Je kuna mimba za bahati mbaya?
Msinichoke kwa post za kila mara.... Napenda sana kuandika...!!!! Mimba za bahati mbaya ninazozungumzia sio zile watu wanaosingizia kuwa iliingia kwa bahati mbaya HAPANA... Mkishavuliana nguo na kufanya ngono bila kinga kwa kutumia njia ya ukeni na manii kuzama ndani.... Ndugu tarajia lolote...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
Siuoni
Ndo inavyokuwaga my dear!!
Wengine huishia kuwowana kabisaa....
Cc@mahandow