Selfika na JF: Snap it. Show it

Huzitakije watu wanatukanana kisa hizi gombania goli ujue😂🫴🏾

We hayaa, vocha tena mnagawiwa wapi na hamtwambii?
Habari za mashengesha mie no,Huwa nawa enjoy tu😁

Vocha alikuwa tajeer humu anagawa vocha,,si unajua raia wakamfanyia figisu mara chambo maneno tele,,wanaume wenzie walikuwa wanamuonea wivu🙌
 
Habari za mashengesha mie no,Huwa nawa enjoy tu😁
Hapo sawa! Wacha sie tujitazamie mambo kwa ukaribuu!!
Vocha alikuwa tajeer humu anagawa vocha,,si unajua raia wakamfanyia figisu mara chambo maneno tele,,wanaume wenzie walikuwa wanamuonea wivu🙌
Eenhh!! Nilijua tu wanawake ndio tuna haya matatizo ya kijinga kumbe mpaka wanaume nao wanaoneanaga gere😆 mtu anaona ana nuksi kuliko kukosa pekeeake anaona bora akufanyie figisu mkose wote! 🤦🏽‍♀️
 
Yaani,ujinga mwingi sana,ukae bila kueleweka😁
 
Christine_1 acha kucheka Cheka Nitajie huyo mtu waliyechat na national na yeye akaleta maneno ya uongo kwako na kukuulizia taarifa zangu..!! Nipo serious ujue..

Nataka niwajibu wote kwa pamoja hapa hapa sitaki private mimi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…