Au leo nawe umeonja kituπMambo gani? Mimi pia binadamu kama wengine. π
Oga na helmetπππ sasa nafunikaje? Navaa zile kofia? Ntajisahau ntajikuta na kofia enyewe ina maji?
SawaPita sasa
Oooh haya sasa, kumekuchaa!!
πππOga na helmet
π₯ π₯°ππΎ.
Wako wapiOooh haya sasa, kumekuchaa!!
Mahansamu wanatetemesha uzi leo.
π₯π₯
Mali piruπ₯ π₯°ππΎ.
Eeeebanaeeee πββοΈπ₯π₯π₯π₯ nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?Nimechelewa nilikuwa nasahihisha madaftari ya watoto
Sijamuona mdogo wangu GenZ Mallerina Sijamuona mdogo wangu GenZ Chica dah π₯Ήπ₯Ή
Pita sasa nmeshapitaEeeebanaeeee πββοΈπ₯π₯π₯π₯ nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?
Si unaona kumbe hunijui ππ, achana na maneno ya watu nisikilize mimi
Ooooh hatimaye mremboo nimekubamba live.
Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?Mali piru
Wewee, πππWako wapi
Hizi nyingi sizijui hata mimi leo nmeona mama kali tupu uzi huu una pisiTangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?
Bana we! πEeeebanaeeee πββοΈπ₯π₯π₯π₯ nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?
Huyo wa kwenye picha labdaWewee, πππ
πππ umeanza vawulensiii.Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?
πππHuyo wa kwenye picha labda